Hivi Watu wasiokunywa pombe huwa wana akili timamu kweli?

Hivi Watu wasiokunywa pombe huwa wana akili timamu kweli?

Mi nataka niache kunywa, japo nakunywa mara moja moja nikilewa nitahangaika hadi nipate k hata ya kununua, nikiwa sijalewa nadili vizuri na mambo yangu.

Kwa upande wangu POMBE HAIFAI.
 
Mkuu sema umezeeka tu

Ila kama unataka kutupa Saki wa masaki sisi wa kisaki tupe mishaki tutang'ong'ozola tu
Hakuna kuzeeka siku hizi wanabadilisha mpaka roho.

Ni maamuzi tu mkuu, ushakunywa Long Island Iced Tea ukiwa Long Island?
 
Salaam Wakuu,

Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu.

Wana maongezi wa kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone...

Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya.

Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu.

Watu wanaobaka na kurawiti watoto Madrasa, asilimia 98 hawanywi pombe wala kuonja.

Wachungaji kutembea na Waumimini, nk.

Yaani mimi siwezi kukaa na mtu ambaye hanywi Pombe masaa mawili. Ataongea nini?

Kama Mwanaume ana story za vyupi tu na kama mwanamke ana Story za Mikao ya faragha..

Je, Una rafiki ambaye hanywi pombe wala kuvuta bangi? Unaonaje story zake?
View attachment 3553256
Maisha bila pombe ni sawa nagari bila mafuta
 
Ni hatari sana
hapa sichangii nisije nikatukanwa na opposite minds:
 
Salaam Wakuu,

Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu.

Wana maongezi wa kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone...

Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya.

Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu.

Watu wanaobaka na kurawiti watoto Madrasa, asilimia 98 hawanywi pombe wala kuonja.

Wachungaji kutembea na Waumimini, nk.

Yaani mimi siwezi kukaa na mtu ambaye hanywi Pombe masaa mawili. Ataongea nini?

Kama Mwanaume ana story za vyupi tu na kama mwanamke ana Story za Mikao ya faragha..

Je, Una rafiki ambaye hanywi pombe wala kuvuta bangi? Unaonaje story zake?
View attachment 3553256
Kwanza walevi ndio wanaongoza kwa kulipa kodi Tanganyika 💪🏿😀
 
Unywaji wa pombe ni mojawapo ya tabia tu ambazo wewe au mtu mwingine anayo. Kunywa pombe haikuondolei tabia ya uasherati,umbeya,roho mbaya n.k.

The same kwa mtu ambaye hanywi pombe. Tabia moja ya kunywa pombe haiwezi kukupa 'full picture ' ya tabia zote za mtu. Kuna mashoga wanakunywa pombe.,utasema wanywa pombe wote ni mashoga?

Au ukasema wanywa pombe huwa wanajikojolea, tuzijumuishe hizi zote kwako mkuu?

Anyway Karibu Mwanjelwa hapa tupate mbili tatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom