VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,145
- 12,744
Bahati yako hapo mwisho umeamua kujitetea kwa kuongezea kingine ambacho hukukiongelea kabla la sivyo ungechezea mambataJe, Una rafiki ambaye hanywi pombe wala kuvuta bangi?
Bahati yako hapo mwisho umeamua kujitetea kwa kuongezea kingine ambacho hukukiongelea kabla la sivyo ungechezea mambataJe, Una rafiki ambaye hanywi pombe wala kuvuta bangi?
Mkuu sema umezeeka tuMkuu,
Wengine tushakunywa pombe kama zote, sasa tumepunzika.
Ushakunywa Saki ukiwa Masaki wewe?
Usinywe ukalewa narudia tena usinywe ukakata ringi watu watapita na malinda km hawakujui vile, nna mshikaji wangu mmoja kaijulia pombe ukubwani basi ni mwendo wa makovu tu kila weekend, hapo utaniambia kwamba tungi ina faida gani? Wewe kila weekend unaishia kuuguza madonda tu aidha kupigwa kisa umegombea barmaids na vingine km hivyo alishawahi poteza funguo ya gari akaiacha bar, sasa faida ipo wapi hapo unalewa unaacha gari yako unapanda bajaj eti gari utaifuata asubuhi pombe zikishakata kichwani la sivyo lazima ulibote kwenye nguzo ya umeme au kingo za barabara, how come?Ndio wanaongoza kwa majungu na umbea.
Mnazidi kuthibitisha pasipo shaka kabisa, bangi sio chaiUwe unatumia akili unapotoa majibu yako au yanakutoka tu?
Acha undezi unatoa mguu wa kushoto nini
Usinywe ukalewa sio kuchat tu linda malinda wahuni sio watu, kuna movie moja niliicheck inaitwa The Brutalist ya mwaka 2024, kwenye hii movie main character alikua ni Architecture yaan yeye alikua msanifu mzuri wa majengo na alikua amejenga majengo mengi sana, sasa alikutana tajiri mmoja akampenda sana kazi zake akamwambia anataka amjengee jumba la kifahari sana, basi jamaa akakubari wakasaini mkataba akaanza kazi ila shida ya jamaa huyu msanifu yeye alikua ni mraibu wa pombe na madawa ya kulevya yaan alikua anapiga tungi pia anajidunga, basi siku hio huyo tajiri akamualika jamaa kwenye party jamaa kweli akaenda kwenda akaanza kupiga tungi akacheza na warembo safi kabisa ila baadae akaona km pombe hazimpi stimu akatoka akaingia chobingo kumbe yule tajiri anamchora tu, jamaa akaenda akatafuta angle akatoa vifaa vyake akajidunga madawa kumbuka hapo kashapiga tungi basi tajiri akaenda akamkuta jamaa tayari kashajipiga sindano amelala chini hajiwezi hawezi hata kujisogeza akajifanya km anataka kumsaidia akamvua suruali jamaa hajiwezi hata kujisogeza tajiri akafungua zipu yake safi kabisa yaan jamaa anaona kabisa tajiri anamvua suruali nyuma akachomoa ukuni akamzamishia akaanza kumfira akamfira safi kabisa alipomaliza akamuacha hapohapo jamaa hajiwezi, kumbuka chanzo cha yote ni pombe na madawa, sasa kuna faida gani km sio kuyaweka malinda yako rehani?Ukilewa usichart!!!!
Nawewe ndio unaanza kulewa hivyoMaana halisi ya spirit ni watu na mioyo yao
Hakuna mpiga Gambe mwenye roho mbaya narudia Hakuna
Niko nasindikiza hisia na Said komorie ft hardmard 'miss Malaika'
'"Ningelikuwa na mabawa, kaa angani nikufate lakini Sina mabawa.!?👌😎
Acha kunikosea adabu muda wa daku badoNawewe ndio unaanza kulewa hivyo
Mwambie anywe ila ahakikishe halewiNawewe ndio unaanza kulewa hivyo
AiseeSalaam Wakuu,
Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu.
Wana maongezi wa kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone...
Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya.
Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu.
Watu wanaobaka na kurawiti watoto Madrasa, asilimia 98 hawanywi pombe wala kuonja.
Wachungaji kutembea na Waumimini, nk.
Yaani mimi siwezi kukaa na mtu ambaye hanywi Pombe masaa mawili. Ataongea nini?
Kama Mwanaume ana story za vyupi tu na kama mwanamke ana Story za Mikao ya faragha..
Je, Una rafiki ambaye hanywi pombe wala kuvuta bangi? Unaonaje story zake?
View attachment 3553256
Kwani kisungura sio VIBE.!Hata kama ni ulevi ndio unywe kisungura mkuu??
Kwa nini mkuu?Ukilewa usichart!!!!
Kuna wale wasiokunywa pombe alafu wanavaa nguo sare na wake zao wakienda kupiga picha studio.. Ukiona mwanaume wa hivyo usithubutu kuongea nae jambo la siri🤣🤣🤣 we nigga Gani ..nikusahihishe kidogo wanywa pombe sio Wachoyo, Wala wezi Wala sio wambeya..
Kiwanja changu.Hii thread imenifanya nipatwe na kiu ya bia. Nimeaona nisogee sehemu nipate mbili tatu. Wakazi wa mbezi luis leo nakesha kwenye ukanda wenu. Nipo hapa qb lounge