Hivi Watu wasiokunywa pombe huwa wana akili timamu kweli?

Hivi Watu wasiokunywa pombe huwa wana akili timamu kweli?

Kila mtu duniani ana kilevi chake utakuta pombe hanywi lakin anakunywa madem ile mbaya, disco hakosi hata kama n disco vumbi. Kuna jamaangu miaka ya nyuma alikua hanywi yaan alikuwa anadharau wanywa pombe cjui kam nini lakini sasa ivi huu mwaka wa tatu tangu ajiunge chama nakwambia ni kituko yan yeye bora tu inalewesha twende
 
Tulikubaliana usishike simu ukiwa umekunywa.. ona sasa
20260225_215101.jpg
 
Bangi sio chai, ndo maana unaandika haya,weed ikishakaa kwenye ubongo huwezi kuwa sawa
Uwe unatumia akili unapotoa majibu yako au yanakutoka tu?
Acha undezi unatoa mguu wa kushoto nini
 
Salaam Wakuu,

Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu.

Wana maongezi wa kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone...

Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya.

Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu.

Watu wanaobaka na kurawiti watoto Madrasa, asilimia 98 hawanywi pombe wala kuonja.

Wachungaji kitembea na Waumimini, nk.

Yaani mimi siwezi kukaa na mtu ambaye hanywi Pombe masaa mawili. Ataingea nini?

Kama Mwanaume ana story za vyupi tu na kama mwanamke ana Story za Mikao ya faragha..

Je, Una rafiki ambaye hanywi pombe wala kuvuta bangi? Uunainaje story zake?
Mkuu,

Wengine tushakunywa pombe kama zote, sasa tumepunzika.

Ushakunywa Saki ukiwa Masaki wewe?
 
Salaam Wakuu,

Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu.

Wana maongezi wa kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone...

Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya.

Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu.

Watu wanaobaka na kurawiti watoto Madrasa, asilimia 98 hawanywi pombe wala kuonja.

Wachungaji kitembea na Waumimini, nk.

Yaani mimi siwezi kukaa na mtu ambaye hanywi Pombe masaa mawili. Ataingea nini?

Kama Mwanaume ana story za vyupi tu na kama mwanamke ana Story za Mikao ya faragha..

Je, Una rafiki ambaye hanywi pombe wala kuvuta bangi? Uunainaje story zake?
Ndio wanaongoza kwa majungu na umbea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom