Kwenye maisha yangu moja wapo ya mambo ambayo waga sifanyi kabisa ni kutumia shuka na taulo za nyumba za wageni.
Kila ninaposafiri na kwenda kutumia Nyumba za wageni basi ni lazima nibebe vitu muhimu kutoka Nyumbani. Siwezi kabisa kutumia shuka za kulalia na taulo za Nyumba za wageni, kukwepa kuvitumia vitu hivyo unilazimu kubeba shuka mbili za kulalia, foronya ya mto wa kulalia, taulo zangu binafsi, mafuta, sabuni, manukato mengine n.k
Ni kwa nini sipendi kutumia shuka na taulo za Nyumba za wageni, sababu kuu ni kuona kinyaa juu ya vitu hivyo, na hili uchangiwa na haya;
Shuka na taulo kwenye Nyumba za wageni hutumiwa na watu wengi sana.
Kuepuka mikosi ya watu wengine wanayoiacha kwenye hivyo vitu.
Ufusika wa zinaa unaofanyika kwenye hizo Nyumba, unifanya niamini hivyo vitu vimenajisiwa.
Kila nikiwaza ni Watu wangapi wametumia hivyo vitu naonaga nikivitumia ni kama nasomba laana za watu.
Uchafu, kuna watu wanajisaidiaga kwenye hayo mashuka wakiwa kwenye ufusika wao. Hapa niliwahi kushuhudia hotel fulani Mwanza, mteja akitaka kupigana na muhudumu kisa yule mtu alipewa chumba, akakuta shuka zinanuka alufu mbaya sana.
Naamini hata vifuliwe kiasi gani, haviwezi kutakata kabisa.
Kutobadilishwa, kuna baadhi ya Nyumba za wageni wahudumu wenyewe uona kinyaa kutoa hizo shuka na kubadilisha, wengine wakiona hamna alama yeyote hawabadilishi kabisa.
Swali ninalojiulizaga, watu wanaotumia hivyo vitu wenyewe hawaonaga kinyaaa kabisa?
Jitahidini mnapo safiri msafiri na vitu vyenu wenyewe kutoka kwenu ili kuepuka kadhia za kubeba mikosi na laana za watu wengine.