Hivi watu hawaoni kinyaa kulalia Shuka za Lodge, Hotel na Gest house?

Kwenye maisha yangu moja wapo ya mambo ambayo waga sifanyi kabisa ni kutumia shuka na taulo za nyumba za wageni.

Kila ninaposafiri na kwenda kutumia Nyumba za wageni basi ni lazima nibebe vitu muhimu kutoka Nyumbani. Siwezi kabisa kutumia shuka za kulalia na taulo za Nyumba za wageni, kukwepa kuvitumia vitu hivyo unilazimu kubeba shuka mbili za kulalia, foronya ya mto wa kulalia, taulo zangu binafsi, mafuta, sabuni, manukato mengine n.k

Ni kwa nini sipendi kutumia shuka na taulo za Nyumba za wageni, sababu kuu ni kuona kinyaa juu ya vitu hivyo, na hili uchangiwa na haya;

Shuka na taulo kwenye Nyumba za wageni hutumiwa na watu wengi sana.

Kuepuka mikosi ya watu wengine wanayoiacha kwenye hivyo vitu.

Ufusika wa zinaa unaofanyika kwenye hizo Nyumba, unifanya niamini hivyo vitu vimenajisiwa.

Kila nikiwaza ni Watu wangapi wametumia hivyo vitu naonaga nikivitumia ni kama nasomba laana za watu.

Uchafu, kuna watu wanajisaidiaga kwenye hayo mashuka wakiwa kwenye ufusika wao. Hapa niliwahi kushuhudia hotel fulani Mwanza, mteja akitaka kupigana na muhudumu kisa yule mtu alipewa chumba, akakuta shuka zinanuka alufu mbaya sana.

Naamini hata vifuliwe kiasi gani, haviwezi kutakata kabisa.

Kutobadilishwa, kuna baadhi ya Nyumba za wageni wahudumu wenyewe uona kinyaa kutoa hizo shuka na kubadilisha, wengine wakiona hamna alama yeyote hawabadilishi kabisa.

Swali ninalojiulizaga, watu wanaotumia hivyo vitu wenyewe hawaonaga kinyaaa kabisa?

Jitahidini mnapo safiri msafiri na vitu vyenu wenyewe kutoka kwenu ili kuepuka kadhia za kubeba mikosi na laana za watu wengine.View attachment 2533865View attachment 2533875
Mkuu umesahau,uwe unasafiri na godoro maana watu wengine hutokwa maji mengi wakati wa kufanya ufusika hivyo kuloanisha godoro.Pia nunua pot Kama zile za watoto usafiri nazo maana choo Cha kukaa wanakaa watu wengi wanaweka makalio yao.Pia ndala usisahau usije ukapata fangas.Sisi wengine tuache na maisha yetu maana yote uliyosema tunaona kawaida tu.
 
Ukienda kwenye ma loji au hoteli za bei huko shuka zinafuliwa na mashine na kuwa sterilized ,unalalia shuka na kutumia taulo safi ,no any bacteria...ila ukienda hizi za afutatu ni majanga lazima uondoke na mapunye na mba.
 
Kwenye maisha yangu moja wapo ya mambo ambayo waga sifanyi kabisa ni kutumia shuka na taulo za nyumba za wageni.

Kila ninaposafiri na kwenda kutumia Nyumba za wageni basi ni lazima nibebe vitu muhimu kutoka Nyumbani. Siwezi kabisa kutumia shuka za kulalia na taulo za Nyumba za wageni, kukwepa kuvitumia vitu hivyo unilazimu kubeba shuka mbili za kulalia, foronya ya mto wa kulalia, taulo zangu binafsi, mafuta, sabuni, manukato mengine n.k

Ni kwa nini sipendi kutumia shuka na taulo za Nyumba za wageni, sababu kuu ni kuona kinyaa juu ya vitu hivyo, na hili uchangiwa na haya;

Shuka na taulo kwenye Nyumba za wageni hutumiwa na watu wengi sana.

Kuepuka mikosi ya watu wengine wanayoiacha kwenye hivyo vitu.

Ufusika wa zinaa unaofanyika kwenye hizo Nyumba, unifanya niamini hivyo vitu vimenajisiwa.

Kila nikiwaza ni Watu wangapi wametumia hivyo vitu naonaga nikivitumia ni kama nasomba laana za watu.

Uchafu, kuna watu wanajisaidiaga kwenye hayo mashuka wakiwa kwenye ufusika wao. Hapa niliwahi kushuhudia hotel fulani Mwanza, mteja akitaka kupigana na muhudumu kisa yule mtu alipewa chumba, akakuta shuka zinanuka alufu mbaya sana.

Naamini hata vifuliwe kiasi gani, haviwezi kutakata kabisa.

Kutobadilishwa, kuna baadhi ya Nyumba za wageni wahudumu wenyewe uona kinyaa kutoa hizo shuka na kubadilisha, wengine wakiona hamna alama yeyote hawabadilishi kabisa.

Swali ninalojiulizaga, watu wanaotumia hivyo vitu wenyewe hawaonaga kinyaaa kabisa?

Jitahidini mnapo safiri msafiri na vitu vyenu wenyewe kutoka kwenu ili kuepuka kadhia za kubeba mikosi na laana za watu wengine.View attachment 2533865View attachment 2533875
Ila mtumba unavaa ?
 
Yaan mimi nikogo comfortable hatari,taulo natumia kama langu
1677683379261.png
 
Mkuu hutumii vitu vya Mitumba?? mbususu nayo vitu used hutumii??
 
Umesahau vingine mkuu, kile Kitasa cha mlango unachogusa kimeguswa na wengi sana, ni heri ubebe chako.

Bafuni wametumia wazinzi wengi mno tena wengine wamepigana miti humo humo bafuni, nakushauri beba bafu lako

Hata kitanda sio salama sana, beba chako.

Makabati, floor, makochi, viti.. wazinz wamevitumia so usisahau kubeba na hivyo....
 
Mtoa mada una roho ya kimaskini na kishirikina......ukienda hotel ya nyota tano Zanzibar napo utabeba shuka zako?
 
Kwenye maisha yangu moja wapo ya mambo ambayo waga sifanyi kabisa ni kutumia shuka na taulo za nyumba za wageni.

Kila ninaposafiri na kwenda kutumia Nyumba za wageni basi ni lazima nibebe vitu muhimu kutoka Nyumbani. Siwezi kabisa kutumia shuka za kulalia na taulo za Nyumba za wageni, kukwepa kuvitumia vitu hivyo unilazimu kubeba shuka mbili za kulalia, foronya ya mto wa kulalia, taulo zangu binafsi, mafuta, sabuni, manukato mengine n.k

Ni kwa nini sipendi kutumia shuka na taulo za Nyumba za wageni, sababu kuu ni kuona kinyaa juu ya vitu hivyo, na hili uchangiwa na haya;

Shuka na taulo kwenye Nyumba za wageni hutumiwa na watu wengi sana.

Kuepuka mikosi ya watu wengine wanayoiacha kwenye hivyo vitu.

Ufusika wa zinaa unaofanyika kwenye hizo Nyumba, unifanya niamini hivyo vitu vimenajisiwa.

Kila nikiwaza ni Watu wangapi wametumia hivyo vitu naonaga nikivitumia ni kama nasomba laana za watu.

Uchafu, kuna watu wanajisaidiaga kwenye hayo mashuka wakiwa kwenye ufusika wao. Hapa niliwahi kushuhudia hotel fulani Mwanza, mteja akitaka kupigana na muhudumu kisa yule mtu alipewa chumba, akakuta shuka zinanuka alufu mbaya sana.

Naamini hata vifuliwe kiasi gani, haviwezi kutakata kabisa.

Kutobadilishwa, kuna baadhi ya Nyumba za wageni wahudumu wenyewe uona kinyaa kutoa hizo shuka na kubadilisha, wengine wakiona hamna alama yeyote hawabadilishi kabisa.

Swali ninalojiulizaga, watu wanaotumia hivyo vitu wenyewe hawaonaga kinyaaa kabisa?

Jitahidini mnapo safiri msafiri na vitu vyenu wenyewe kutoka kwenu ili kuepuka kadhia za kubeba mikosi na laana za watu wengine.View attachment 2533865View attachment 2533875

Na nguo za mtumba usivae.
 
unabeba na vijiko na vikombe na masahani yako au unatumia vile vile walivyotumia Mafasiki na washerati?
 
Bora shuka naweza kujikaza lakini taulo, sabuni sijui nini aisee hapana. Au unakuta umewekewa malapa sijui yeboyebo halafu ziko mbichi kabisa zina maji maji aisee huwa situmii. Wakati mwingine unakuta maji kwenye ndoo kusema ukweli huwa naona kinyaa kuyatumia namwaga yote. Kitu kingine ni choo kikiwa na majimaji sijui naonaje au choo kipo karibu na kitanda. Niliwahi kupewa chumba nikilala naangaliana na mlango wa choo halafu mlango wa choo haufungi aisee nilishindwa kulala kabisa
 
Back
Top Bottom