Hivi watu hawaoni kinyaa kulalia Shuka za Lodge, Hotel na Gest house?

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Kwenye maisha yangu moja wapo ya mambo ambayo waga sifanyi kabisa ni kutumia shuka na taulo za nyumba za wageni.

Kila ninaposafiri na kwenda kutumia Nyumba za wageni basi ni lazima nibebe vitu muhimu kutoka Nyumbani. Siwezi kabisa kutumia shuka za kulalia na taulo za Nyumba za wageni, kukwepa kuvitumia vitu hivyo unilazimu kubeba shuka mbili za kulalia, foronya ya mto wa kulalia, taulo zangu binafsi, mafuta, sabuni, manukato mengine n.k

Ni kwa nini sipendi kutumia shuka na taulo za Nyumba za wageni, sababu kuu ni kuona kinyaa juu ya vitu hivyo, na hili uchangiwa na haya;

Shuka na taulo kwenye Nyumba za wageni hutumiwa na watu wengi sana.

Kuepuka mikosi ya watu wengine wanayoiacha kwenye hivyo vitu.

Ufusika wa zinaa unaofanyika kwenye hizo Nyumba, unifanya niamini hivyo vitu vimenajisiwa.

Kila nikiwaza ni Watu wangapi wametumia hivyo vitu naonaga nikivitumia ni kama nasomba laana za watu.

Uchafu, kuna watu wanajisaidiaga kwenye hayo mashuka wakiwa kwenye ufusika wao. Hapa niliwahi kushuhudia hotel fulani Mwanza, mteja akitaka kupigana na muhudumu kisa yule mtu alipewa chumba, akakuta shuka zinanuka alufu mbaya sana.

Naamini hata vifuliwe kiasi gani, haviwezi kutakata kabisa.

Kutobadilishwa, kuna baadhi ya Nyumba za wageni wahudumu wenyewe uona kinyaa kutoa hizo shuka na kubadilisha, wengine wakiona hamna alama yeyote hawabadilishi kabisa.

Swali ninalojiulizaga, watu wanaotumia hivyo vitu wenyewe hawaonaga kinyaaa kabisa?

Jitahidini mnapo safiri msafiri na vitu vyenu wenyewe kutoka kwenu ili kuepuka kadhia za kubeba mikosi na laana za watu wengine.
serenangorongoro-241.jpg
Screenshot_20230301-170929_1.jpg
 
Kwenye maisha yangu moja wapo ya mambo ambayo waga sifanyi kabisa ni kutumia shuka na taulo za nyumba za wageni.

Kila ninaposafiri na kwenda kutumia Nyumba za wageni basi ni lazima nibebe vitu muhimu kutoka Nyumbani. Siwezi kabisa kutumia shuka za kulalia na taulo za Nyumba za wageni, kukwepa kuvitumia vitu hivyo unilazimu kubeba shuka mbili za kulalia, foronya ya mto wa kulalia, taulo zangu binafsi, mafuta, sabuni, manukato mengine n.k

Ni kwa nini sipendi kutumia shuka na taulo za Nyumba za wageni, sababu kuu ni kuona kinyaa juu ya vitu hivyo, na hili uchangiwa na haya;

Shuka na taulo kwenye Nyumba za wageni hutumiwa na watu wengi sana.

Kuepuka mikosi ya watu wengine wanayoiacha kwenye hivyo vitu.

Ufusika wa zinaa unaofanyika kwenye hizo Nyumba, unifanya niamini hivyo vitu vimenajisiwa.

Kila nikiwaza ni Watu wangapi wametumia hivyo vitu naonaga nikivitumia ni kama nasomba laana za watu.

Uchafu, kuna watu wanajisaidiaga kwenye hayo mashuka wakiwa kwenye ufusika wao. Hapa niliwahi kushuhudia hotel fulani Mwanza, mteja akitaka kupigana na muhudumu kisa yule mtu alipewa chumba, akakuta shuka zinanuka alufu mbaya sana.

Naamini hata vifuliwe kiasi gani, haviwezi kutakata kabisa.

Kutobadilishwa, kuna baadhi ya Nyumba za wageni wahudumu wenyewe uona kinyaa kutoa hizo shuka na kubadilisha, wengine wakiona hamna alama yeyote hawabadilishi kabisa.

Swali ninalojiulizaga, watu wanaotumia hivyo vitu wenyewe hawaonaga kinyaaa kabisa?

Jitahidini mnapo safiri msafiri na vitu vyenu wenyewe kutoka kwenu ili kuepuka kadhia za kubeba mikosi na laana za watu wengine.View attachment 2533865View attachment 2533875
Usibague, acha tu kwenda gesti. Mambo ya kuacha kutumia shuka au taulo na huku unatumia choo, bafu, makabati etc ni yale yale tu
 
Halafu kwa nini wao waache tu na wasibebe!!?

Af wewe ubebe tu na usiache!?

Naongelea hizo laana............ kiufupi hakuna cha kubeba wala kuacha. Laana ni matokeo ya tabia. Tabia binafsi. Na tabia ni kitu active sio passive.

Bora ungesema magonjwa japo inamake sense. Hata na menyewe mfano fangasi, fangasi haoti tu mahala kama mazingira haujamruhusu. So tunarudi kulekule ni active thing. We make shit happen.
 
Itakua choo nacho unasafiri na chako
Choo lazima wasafishe. Pili choo kina nguvu ya asili, huwezi kupata mikosi kwa kutumia choo cha watu wengi(kuthibitisha hili ukipewa kitu chochote ambacho unahisi ni kibaya au cha uchawi basi toa kidogo tumbukiza chooni, kamwe hutodhurika), labda magonjwa ya ngozi na UTI kutokana na uchafu na haya ni rahisi kuyakwepa, maana unaweza kusafisha mwenyewe then ukatumia bila shida yeyote.
 
Kwenye maisha yangu moja wapo ya mambo ambayo waga sifanyi kabisa ni kutumia shuka na taulo za nyumba za wageni.

Kila ninaposafiri na kwenda kutumia Nyumba za wageni basi ni lazima nibebe vitu muhimu kutoka Nyumbani. Siwezi kabisa kutumia shuka za kulalia na taulo za Nyumba za wageni, kukwepa kuvitumia vitu hivyo unilazimu kubeba shuka mbili za kulalia, foronya ya mto wa kulalia, taulo zangu binafsi, mafuta, sabuni, manukato mengine n.k

Ni kwa nini sipendi kutumia shuka na taulo za Nyumba za wageni, sababu kuu ni kuona kinyaa juu ya vitu hivyo, na hili uchangiwa na haya;

Shuka na taulo kwenye Nyumba za wageni hutumiwa na watu wengi sana.

Kuepuka mikosi ya watu wengine wanayoiacha kwenye hivyo vitu.

Ufusika wa zinaa unaofanyika kwenye hizo Nyumba, unifanya niamini hivyo vitu vimenajisiwa.

Kila nikiwaza ni Watu wangapi wametumia hivyo vitu naonaga nikivitumia ni kama nasomba laana za watu.

Uchafu, kuna watu wanajisaidiaga kwenye hayo mashuka wakiwa kwenye ufusika wao. Hapa niliwahi kushuhudia hotel fulani Mwanza, mteja akitaka kupigana na muhudumu kisa yule mtu alipewa chumba, akakuta shuka zinanuka alufu mbaya sana.

Naamini hata vifuliwe kiasi gani, haviwezi kutakata kabisa.

Kutobadilishwa, kuna baadhi ya Nyumba za wageni wahudumu wenyewe uona kinyaa kutoa hizo shuka na kubadilisha, wengine wakiona hamna alama yeyote hawabadilishi kabisa.

Swali ninalojiulizaga, watu wanaotumia hivyo vitu wenyewe hawaonaga kinyaaa kabisa?

Jitahidini mnapo safiri msafiri na vitu vyenu wenyewe kutoka kwenu ili kuepuka kadhia za kubeba mikosi na laana za watu wengine.View attachment 2533865View attachment 2533875
Ila unaenda kula kwa kutumia vijiko,sahani,vikombe..na bakuli zao. Acha ujinga
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom