Hivi watu hawaoni kinyaa kulalia Shuka za Lodge, Hotel na Gest house?

Wewe acha kutumia, lakini mie eti nimekutana na demu alafu niende nichukue shuka kwa mama Yoyo, nitakuwa mjinga wa kwanza kuwahi kutokea.
 
Mleta uzi una matatizo mawili makubwa;

1. Una imani za kishirikina. Mambo ya laana ni ushirikina mtupu. Inawezekanaje kwa kulalia mashuka ubebe laana? Imani kama hizi ndo zinatufanya tuzidi kuwa maskini.

2. Wewe ni maskini na kipato chako ni duni. Bila kupepesa macho wewe huwa unalala sehemu zisizozidi Tsh 20k taslimu. Ungekuwa unalala angalau sehemu za kuanzia Tsh 50k usingeleta huu uzi unaonuka ushirikina na umaskini.

Unachotakiww kufanya ni kuachana na hizo imani za kishirikina huku ukifanya kazi kwa bidii uondokane na umaskini unaokukabili.
Hiyo ni mojawapo ya principle yangu ya maisha bila kujalisha ukubwa wa kipato changu.
 
Pole sana mkuu,ila Hilo swala ni lako binafsi.Ungejua jinsi uchi ulivyo mchafu basi usingetamani mwanamke.

Laana za watu,mikosi sijui na nini vile.

Hata wewe hujakamilika.

Ukimya nao busara.

Usiingilie kazi za wengine.
 
Back
Top Bottom