Sio kwamba watu hawajui...ni mazoea..cha msingi msikilizaji anaelewa nn kinamaanishwa...mbona tunachapia maneno mengi ktk kiswahili....mfano NILIMKUTA HAYUPO..!!
Kingereza chenyewe kina kanuni ya kwamba hasi na hasi haziendan
Mfano huwez kusema I DON'T HAVE NOTHING...unatakiwa useme I DON'T HAVE ANYTHING..sasa angalia ni wazungu wangapi wanakosea....cha msingi ni msikilizaji ameelewa au la!!
Sent from my SM-A315F using
JamiiForums mobile app