Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,821
59,428
Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!

Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu.
Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo haya, pamoja na mengine mengi.🙁

Binafsi sikubaliani nanyi hata kidogo.

Utii hauletwi na mtu kutokua "msomi"! Utii, kama vitu vingine vingi ambavyo hutolewa kwa hiari huwa havitolewi isipokua pale muhusika anapoonekana anastahili.

You can instill fear on a person, ukanunua nidhamu ya uongo, ngono, mapenzi ya kinafiki and so on...ila upendo, utii na kujaliwa ambako ni halisi (real/genuine) hutolewa kwa hiari, na hiari haishurutishwi hata siku moja. Si kwa mazingira (circumstances), uhitaji, pesa, hofu, wala nguvu ya mtu.

Tatizo linakuja pale mnapotaka kuchukua bila kutoa. Trust me, you can not take without giving!!

Wanaume nyie mnataka tuwapende, mnataka tuwajali (mbembelezwe na kupetiwa petiwa), tuwaheshimu, tuwatii, tuwasikilize, tuwa-appreciate etc. , ila nyie mnafanya juhudi gani kututengenezea mazingira/ kutuweka kwenye position ya kuwapa hayo yote na zaidi bila kujiona wajinga? Pengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.

Hii pia inatokana na the fact that kuna baadhi wanakuwa na watu ambao sio sahihi kwao, either kwa tamaa, uzembe ama haraka ya kuingia kwenye mahusiano. Mtu wa hivi hata umbebe mgongoni, it will never change the fact that HAKUPENDI! Anaweza akawa anakuhitaji kwa sababu moja ama nyingine, but that's pretty much it.

Ukweli ni kwamba, ukiwa na mtu sahihi kwako na ukam-treat vizuri, she'll naturally become your peace...and vice versa!

Tukiacha kushindana, kila mmoja akaanza kumpa mwenzie kila anachoweza kumpa without conditions, judgement, or holding back, maisha yatakua rahisi sana.
 
Without conditions, judgment or holding back...

Hii iko subjected na hela au ni kama ilivyo?😂
 
Mimi naona kwenye hili ni lazima kutakua na pande mbili tu;

1. Wanaotaka ke kutii bila sharti
2. Wanaoruhusu ke kuwa na sauti

Kundi no.1 watasema wanahudumia/kutoa pesa ndo maana wanataka hiyo heshima. Watang'ang'ania hapo. Wataleta hoja za dini na tamaduni ya mfumo dume...

Shida ya kundi no.2 wanataka hiyo kushabihiana lakini kuna vitu hawako tayari kufanyia wenzao.
 
Back
Top Bottom