SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,703
- 60,816
Hao ni wanaume wa shoka nyie wa kwenu mnaishia kushikishwa kuta kwa tamaa.Na ninawajua wawili wanabbeba kariakoo
Hao ni wanaume wa shoka nyie wa kwenu mnaishia kushikishwa kuta kwa tamaa.Na ninawajua wawili wanabbeba kariakoo
Na nyie huko Mombasa wanaume mnabetuliwa.wasambaa ndo wabeba magunia na ni wabishi balaa
Waghoshi soi kunu, kuna bahau jetiondo mbui!!!
Sijapenda ulivyotukana hapanewakaje visiku vya wanine zawe mosie.
Hahahaaaa,neee intazisa du mecho iheona aha nkaona niike gonde Maaa uzanshesha
Cc mshana jr
Bwana bwana hawa watu ni noma nimekaa huko zaidi ya miaka miwili sehemu panaitwa magamba hapafai kwa baridiPia wana sifa ya kuvumilia baridi mkuu uko juu milimani wanapoishi kuna baridi balaa sisi wageni uomba likizo mda wa baridi ukifika, wakati wao utinga tshirt na kwenda katika shughuli zao iwe baridi au joto
Naazinkwa nvingi waume hangi nndai antoiyeye shakiizi?
Mbui see inu ushe maa! Wangwe cha umbuje china muiye icho
Kajemagutwi hahaWana undugu na "she" tani
Hii si sifa ya mwanamke msambaaWasambaa wanaongea kama chiriku vile.
.... Na Magambawanapatikana sana wilayani Lushoto, kuanzia maeneo ya Soni, kongei, lushoto mjini, lukozi, mtae, mlalo, ngwelo, mlola.
...kucheza bao na kunywa alkasusi!Wamama ni wachapa kazi na wakarimu sana nakumbuka wakati nakaa huko mama mwenye nyumba wetu tulikua tukikwama kulipa kodi ukienda kumwambia mama nimekwama hata iwe miezi minne.. Anasema " mwanangu usijali utanipa siku ukipata"
Kuna siku niliibiwa kila kitu pale gheto na kodi ilikua ndio inaisha nikamfuata nikamwambia hali halisi yule mama alinionea sana huruma akasema nisimlipe kodi had nitapokua vizuri akataka hadi kunipa hela ya matumiz siku mbili tatu, Abarikiwe sana yule mama...
Ila wanaume wengi ni wavivu saa asubuhi mbili wanacheza bao
Ufefeezi unu
Ni kwel aisee wanasimuliana ht wakiwa familia unaweza jipigia kuanzia yy,dada zake ao wadogo zake, hadi mama yao wanapenda sana hii michezo ya kutianaHawa watu ukiwa na mpenzi mmoja tu ukimgegeda kisawasawa nae anaenda kusimulia wenzake wanakuwa wanajileta wenyewe unajipigia tu!
na nyunguAu zaiko akadodoe makopo.
kazama kakazu hekashia mlileHaha na shimweezi nnyama nkazu kaishia muiyee
Eka titongonyeze
tikomee mbuikazama kakazu hekashia mlile
Umekosea hao ni wamakonde ndiyo wako hivyo.Ukipendwa na mmoja basi familia nzima wanakupenda,mama baba wajomba mashangaz wakupenda