Hivi wasambaa wana sifa gani??

Why you didn't do that?
 
Wapole wacheshi wapend watu hawana roho mbaya hawana tamaa wachapa kazi wavumilivu wasikivu hawapend makubwa wanaridhika na walichonacho na wana heshima ya hali ya juu ngoja niishie hapo
Hawa watu mnavyowasifia nahisi kuvuyiwa nao. Ila mi mbona nasikia hawa watu wa Tanga wana mambo ya ushirikina. Ni baadhi ta makabila au hata na hawa wamo.
 
Nafikiri we unawaelewa vizuri!
 
TE="ukhuty, post: 18876135, member: 392029"]Nakupenda sana mtoto, hebu njoo PM kwanza tupange future. Uko tayari kuwa mchepuko lakini? I mean kama mke wa pili. Nitakujali kuliko unavyodhani![/QUOTE]
[/QUOTE]
Niko serious!
 
mshana jr, post: 18877407, member: 98741"]Nakupenda sana mtoto, hebu njoo PM kwanza tupange future. Uko tayari kuwa mchepuko lakini? I mean kama mke wa pili. Nitakujali kuliko unavyodhani![/QUOTE]
[/QUOTE]
Unacheka mkuu? It sounds funny lakini niko serious, mtoto nimempenda. Everything about her makes my hear skip a beat, the way she talks, alivyo proud na her origin, points n.k mimi nazimia huku.
Hebu mweleweshe tafadhali, niko tayari kuingia mazima, I mean Im in for the long haul. Watoto kama huyu ni adimu sana, I don't want to waste this chance kwa kweli.
 
mshana jr, post: 18877407, member: 98741"]Nakupenda sana mtoto, hebu njoo PM kwanza tupange future. Uko tayari kuwa mchepuko lakini? I mean kama mke wa pili. Nitakujali kuliko unavyodhani!
[/QUOTE]
Unacheka mkuu? It sounds funny lakini niko serious, mtoto nimempenda. Everything about her makes my hear skip a beat, the way she talks, alivyo proud na her origin, points n.k mimi nazimia huku.
Hebu mweleweshe tafadhali, niko tayari kuingia mazima, I mean Im in for the long haul. Watoto kama huyu ni adimu sana, I don't want to waste this chance kwa kweli.[/QUOTE]
tafuta nywele za kwapa za simba jike aliyetoka kujifungua nikufanyie mambo
 
Unacheka mkuu? It sounds funny lakini niko serious, mtoto nimempenda. Everything about her makes my hear skip a beat, the way she talks, alivyo proud na her origin, points n.k mimi nazimia huku.
Hebu mweleweshe tafadhali, niko tayari kuingia mazima, I mean Im in for the long haul. Watoto kama huyu ni adimu sana, I don't want to waste this chance kwa kweli.[/QUOTE]
tafuta nywele za kwapa za simba jike aliyetoka kujifungua nikufanyie mambo[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…