miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Anhaa nshapata picha!
Afadhali
Anhaa nshapata picha!
keshasema weka laki 5 mezani.upate ukitakacho kwa masaa mawili.maswali mengine kelele tu.huna kaa pembeni
kunguru mwoga ana maisha marefu
ila anaish kwa shida
uko smart kaka unatumia marashi gani?
Teheeee hii hatareeeee
Umeona kijana mzuuuuri upo nae kituoni. Kijana yupo next to you kakulia bati mbaya nawe kamoyo kanataka muongee huwezi jua bwana. Basi mtoto wa kike unajitosa kwa sauti ya huba na jicho legevu... samahani anko una saa hapo? Saa ngapi? Of course kidume kitajibu. Kisha unamwachia asante ikifuatiwa na tabasabu mwanana.... baada ya hapo unajisemesha yaani usafiri wa shida leo... ntachelewaaa! Baada ya hapo kwa walio wengi kuna maongezi, lol na siti moja mnaweza kukaa na nauli waweza kulipiwa! Kama unaona halipi unaachana nae ukishuka una add number to rejected list...! Umetongoza, hujatongoza?!
Aiseee kizege
unaonekana domo zege ... unalamba lamba lips
Hahaha sio sasa hivi tena ilikuwa zamani, we njoo unijaribu uone mziki wake
Upewe laki 5 kwani hiyo mbunye ina tv ndani? miss chagganaomaba laki tano
kheee basiUpewe laki 5 kwani hiyo mbunye ina tv ndani? miss chagga
Mimi nimechunguza nikaona asilimia kubwa ya wanaume ambao ni madomo zege hawajui kutongoza ndio wanaotongozwa na wanawake maana wanawake wanapenda mwanaume aliye tulia hivyo akikuona huna anatamani kua nawewe lakini hata akijileta karibu yako hutongozi kisa hujui ni domo zege hivyo huona nibora akuambie mwenyewe ila mimi tangu nizaliwe sijawahi tongozwa na mwanamke maana kila mwanamke nimuonae namtongoza mimiNaulizia tu maana sijawahi kuona japo nasikia, hivi wanaanzaje anzaje?
Je wewe msomaji umewahi kutongozwa na mwanamke?
mizinga ndo itakayofatia miss chagga minottunaanzaga hivi uncle samahani naomba kuuliza.... unasimama naomba namba yako ya simu.. mengine sijui
angalia acje kukubali akakupa hyo laki 5 ila ukashndwa kukaa maisha yko yote kuna watu wanafumua marinda ka hawana akili aiseee...... ni ushauri wangu tu huokwa masaa 2