Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 249
- 469
Binafsi sijawahi kuona wanawake mwanamke mwenye kitambi au hawaoti vitambi? au sijatembea sehem nyingi? ufafanuz wakuu
hahahah
karibuni:
hahahah
karibuni:
Sawa nakuja mbeya hapo kyelaNjoo kyela
Huwa wanapata kwa matumbo yote mawili, cha uzazi na cha castle lite barid na michemshoBinafsi sijawahi kuona wanawake mwanamke mwenye kitambi au hawaoti vitambi? au sijatembea sehem nyingi? ufafanuz wakuu
hahahah
karibuni:
Kina nani shem?
Ninacho kama chotre
Kuna tetesi kwamba wanapotumia uzazi wa mpango zile damu za kila mwezi/period hujirundika tumboni na kuwa linyama likuuubwa hivyo kupelekea kuota vitambi.
Karibia naamini sababu kabla ya uzazi wa mpango wanawake wenye vitambi ulikua unawatafuta kwa tochi