Hivi wanawake wanatongoza?

Hivi wanawake wanatongoza?

kiukweli hutongoza but kwa mbalii wewe kama kidume akili za kuambiwa changanya na zako. unakuta kijana ana miaka 27jimama lina 60huwezi kuniambia huku kijana alimparamia na kumuimbisha huyo bimkubwa! kwanza utampa swaga gani? so wanatafuna wanaume wanameza.
 
Trust me Papaa
mi mwenyeji sana maeneo hay but I never purchase aisee
Hata washkaj wananishangaa
Anyway I have to admit may be me mshamba but naupenda ushamba wangu

Basi hapo ulishajitune kuwa msafi tangu mwanzo kwamba papuchi zisizoeleweka si za kuzipatapata
 
tena wao huwa wapo straight zaid kuliko sisi na matendo ndo huwa zaid ya kukuonyesha kukujal zaid
 
Eti nife kijerumani namuangalia tu jamaa huyoooo mara achukuliwe na jirani mmh hapana asee!!!

Kuna kutongoza na kujitongozesha ni mambo mawili tofauti ,nionavyo ! Mfano unanipitia halafu unatembea huku unatingisa buno ,inakuwaje hapo !
 
Kuna kutongoza na kujitongozesha ni mambo mawili tofauti ,nionavyo ! Mfano unanipitia halafu unatembea huku unatingisa buno ,inakuwaje hapo !
Sa nijitingishe iwe nini, mi nakuita narusha kete zangu unakula tongozo la kike
 
Back
Top Bottom