katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Zamani bhana sio saivi tuliwapa elimu juu ya stds and hiv so wanajua ni bora kuwa na mmoja unaye mwamini .Kwa hiyo Kuna vitu vile vyenyewe vya kimasai utakuwa hujui? Hii habari ya kusimika mkuki alishawahi kuishuhudia live?