ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 589
- 208
kuchepuka ni tabia ya mtu ivyo yeye asichepuke amekua nan
Wamasai wale wa bush kabisa huwa hawachepuki kwan huwa wanakeketwe yaan kuondolewa baadhi ya zile sehemu ambazo zinaamsha aski katika kufanya mavituzi. Hivyo wenyew hawana mda wa kuchepuka wapo tu pale waume zao wanapowahitaji wanawapa bac dat is all about
Hapo kwenye kutumwa kutaka mzigo fafanua vyema. Interested.Kuchepuka ni dhambi kama dhambi ingne tu huku uswailini kwenu, hatuchepuki na ile habari ya mkuki si kweli ni analiwa mzigo ni kwamba hizo fimbo ziko tofautitofauti kulingana na umr so akija mgeni au mwanao anaiacha mlangoni incase akija mgeni mwngne wa jinsia yoyote kwa kuangalia hiyo fimbo anatambua pana mgeni na ni wa rika flani.
Heshma umasaini kwetu zinakwenda kulingana na rika rika la chini lzma aheshm rika la juu yake ndivyo inavyokwenda.
Kuchepuka ni kama Mume hayupo mybe hajulikani alipo miaka mi3 kwenda mbele mwanamke anauwezo wa kuzaa na mtu mwngne ila asiwe rika la chini ya mume wake ama rika la baba zao.
Ikitokea bax umechepuka ukakutwa na mume mkayamaliza poa ila akimaind ukirudshwa kwenu unarudishwa na wamama wakubwa na wewe mwenyewe ndio utakaoambia wazazi wako nimekamatwa na mwanaume so wazazi wanatafuta blangeti lbd na kret ya bia anapelekewa mume wako sasa vile mume kafatwa na rika kubwa la baba zake uwezi kuwakatalia anakusamehee unarudi kwako maisha yanaendelea.
Umasaini kugegedana ni kwaajili haswa ya kuzaa, watoto thamani yake inakaribiana na mifugo kwani usipokuwa na watoto mifugo atachunga nani ndo maana wanaoaga wake zaidi ya m1.
Mwanamke mume akitaka kuongeza mke anakwambia wewe ndio unatafuta mwanamke anakutafutia mwanamke mzuri mwenye tabia njema anakuposea. Mwanamke ukiolewa ukija lzm umuheshmu uliyemkuta maana ni mkubwa wakoo na hata mume akija akitaka mzigo anaweza akamtuma mke mkubwa kaniitie flani. nk
waulize waliooa wamasaiJamani eeh..Hivi hawa wanawake wa Kimasai waliopo huku mijini wanachepuka?
Kama wanachepuka vipi wakiwa ulingoni ubora wao upoje?
Naamini kwa ukubwa wa JF,wapo watu walisha pata uzoefu wa maswali yangu.
Eehhh...Nilikuwa nimesahau jambo moja.
Hivi wanaume wa kimasai wanayale mapenzi ya kuwashika mademu zao mikono wawapo barabarani?
Hapa nazungumzia wamasai wale waporini kabisa,Wanao abudu tamaduni zao na mila.Sio kama wale watoto wa Ole sendeka na Laiza wamasai wa mjini.Wanaomfahamu Jay Z na Diamond.
Tuheshimiane mie si mmasai but hii kauli siyo ya kiutu otherwise kama ni watani wako.Hivi masai nae ni mtu??
Ni mmamalia mwenzio nyambafuuu wewe huna hata haya jitu zima akili zeroHivi masai nae ni mtu??
Wewe vipi umekeketwa pia? Samahani lakini.Ni ngumu kuchepuka maana hawana hisia walishatahiriwa natofauti ya hivyo taratibu zetu zimebana ziko tight sana.
So ukishikwa unachepuka uko kama umeua so ni ngumu ukate mautamu au usikatwe ukiwa umeolewa ukiwaza danger zone .
Kuchepuka inakataaa kabisa.
Na😃sisi wa mjini kuchepuka labda mtu tabia ila sisi wanawake tumetulia.
Wewe ni mmasai?Ni ngumu kuchepuka maana hawana hisia walishatahiriwa natofauti ya hivyo taratibu zetu zimebana ziko tight sana.
So ukishikwa unachepuka uko kama umeua so ni ngumu ukate mautamu au usikatwe ukiwa umeolewa ukiwaza danger zone .
Kuchepuka inakataaa kabisa.
Na[emoji2]sisi wa mjini kuchepuka labda mtu tabia ila sisi wanawake tumetulia.
Ndio wa monduli na kenyaWewe ni mmasai?
Utakuwaje waMonduli na kenya?Ndio wa monduli na kenya
Mimi nimezaliwa kimjini mjini sinajakatwaWewe vipi umekeketwa pia? Samahani lakini.
English na kiswahili ila nakisikiaUtakuwaje waMonduli na kenya?
Unaongea kimasai?
Oouhk nimekuelewa.English na kiswahili ila nakisikia
Ila najua badhii ya maneno nitakufundisha ukipendaOouhk nimekuelewa.
Kwa hiyo Kuna vitu vile vyenyewe vya kimasai utakuwa hujui? Hii habari ya kusimika mkuki alishawahi kuishuhudia live?Mimi nimezaliwa kimjini mjini sinajakatwa
haha...Mimi naongea utanifundisha nini...hapa nimevalia Rubega.Ila najua badhii ya maneno nitakufundisha ukipenda
Mfundishe huyo kiongozi halafu Kama vipi unaweka ndani kabisa. Hivi hii ya kuchomeka mkuki ulishawahi kuitumia mkuu?haha...Mimi naongea utanifundisha nini...hapa nimevalia Rubega.