Kuchepuka ni dhambi kama dhambi ingne tu huku uswailini kwenu, hatuchepuki na ile habari ya mkuki si kweli ni analiwa mzigo ni kwamba hizo fimbo ziko tofautitofauti kulingana na umr so akija mgeni au mwanao anaiacha mlangoni incase akija mgeni mwngne wa jinsia yoyote kwa kuangalia hiyo fimbo anatambua pana mgeni na ni wa rika flani.
Heshma umasaini kwetu zinakwenda kulingana na rika rika la chini lzma aheshm rika la juu yake ndivyo inavyokwenda.
Kuchepuka ni kama Mume hayupo mybe hajulikani alipo miaka mi3 kwenda mbele mwanamke anauwezo wa kuzaa na mtu mwngne ila asiwe rika la chini ya mume wake ama rika la baba zao.
Ikitokea bax umechepuka ukakutwa na mume mkayamaliza poa ila akimaind ukirudshwa kwenu unarudishwa na wamama wakubwa na wewe mwenyewe ndio utakaoambia wazazi wako nimekamatwa na mwanaume so wazazi wanatafuta blangeti lbd na kret ya bia anapelekewa mume wako sasa vile mume kafatwa na rika kubwa la baba zake uwezi kuwakatalia anakusamehee unarudi kwako maisha yanaendelea.
Umasaini kugegedana ni kwaajili haswa ya kuzaa, watoto thamani yake inakaribiana na mifugo kwani usipokuwa na watoto mifugo atachunga nani ndo maana wanaoaga wake zaidi ya m1.
Mwanamke mume akitaka kuongeza mke anakwambia wewe ndio unatafuta mwanamke anakutafutia mwanamke mzuri mwenye tabia njema anakuposea. Mwanamke ukiolewa ukija lzm umuheshmu uliyemkuta maana ni mkubwa wakoo na hata mume akija akitaka mzigo anaweza akamtuma mke mkubwa kaniitie flani. nk