Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,212
- 124,888
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli ujue watu wengine hawapendezi kuwa na lugha za wiziwiziYaah, atuachie kamsemo ketu ka kuwachomolea hela.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli ujue watu wengine hawapendezi kuwa na lugha za wiziwiziYaah, atuachie kamsemo ketu ka kuwachomolea hela.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano Mimi nikuite wewe My? Au lazima iwe rafiki wakike na wakiume?
My binamu nikwambie kitu?Inashangaza sana...
"My tuma na ya kutolea"[emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli ujue watu wengine hawapendezi kuwa na lugha za wiziwizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wa kike wanaitana ila wa kiume mmmh ukakasi ubaongezeka
Hutaki nikwambie?
Situmii aisee silipendii[emoji23][emoji23][emoji23]"My tuma na ya kutolea"[emoji23][emoji23][emoji23].
Wewe huwa unatumia neno my?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanazingua mbaya, mm dem hata awe mkali kiasi gani au niwe namuona kiwango akishaanza my nikuombe kitu? Fasta namjibu hapana usiniombe!
Nna shida ya elfu ishirini my binamu
Halijakaa vizuri kabisa. Limekaa kimtaani taani.Situmii aisee silipendii[emoji23][emoji23][emoji23]
YeahHalijakaa vizuri kabisa. Limekaa kimtaani taani.
Bora umwite mtu jina lake.
Ulimpa auKuna mjinga aliniomba hela ya umeme wiki iliyopita.
We jamaa umenifanya nicheke. Kirefu cha jina lako mkuu n niniAlaah kumbe unawatongoza mabinti, sasa unadhani mabinti akili zao zipo sawa? Wewe huoni hata humu kuna mabinti ukisoma post zao unajua kabisa huyu ubongo wake umeamia matakoni.
Anajua akikuambia naomba hautampa lkn akija kwa gia ya kuazima aaaah faster anapewaHalafu hiki kitambia msichana mnabadilishana namba Siku mbili mbele anaomba umuazome hela inaudhi, kibaya zaidi wadada wanaongoza kwa kutorudisha hela wakiazima! Unasikia my naaomba niazime elfu 30 wiki ijayo nakurudishia, then anaongezea ujue nimekumis my! Shenzi kabisa mm siku hizi nawatolea mbavuni tu!
Mtumie na ya majiKuna mjinga aliniomba hela ya umeme wiki iliyopita.
Duh, yaani mara ya mwisho mimi kushika kiasi kukubwa cha fedha kama hicho ni 2014Nna shida ya elfu ishirini my binamu
Duh, yaani mara ya mwisho mimi kushika kiasi kukubwa cha fedha kama hicho ni 2014Nna shida ya elfu ishirini my binamu
Duh, yaani mara ya mwisho mimi kushika kiasi kukubwa cha fedha kama hicho ni 2014