[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wewe mwenyewe unajua situmii kinywaji chochote zaidi ya papuchi mkuuKwa heshima na taadhima naomba nikutakie ASSALAAAM ALEIKUM popote ulipo fturu chochote nitalipa hata kama hujafunga
Kwa hiyo nikuiteje?Taratibu usiamshe watoto kwenye stoo yetu hii Mama, so kwako ni uungwana kunivisha cheo nisichoendana nacho kwa hadhi?
Niite tu Mwakidume au Mwakiboko nami mitakuelewa tu pa1 na unyakyusa wangu 7bu ndiyo majina yangu halisi ya kibantu Mama.Kwa hiyo nikuiteje?
Je akiita kwa kiswahili "wangu"?Hakuna kitu sipendi kama kuniita "my"
Na wote umepata Neema ya kuwajua.[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wewe unao wengi ukisema yulee unanichanganya tu [emoji23][emoji23]
Kwamba unaweza kuwa ushaibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbeee???
Me huwa ukiniita hivyo kwanza najisachi
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Alooo tusichomeane picha basi.....
Hivi hujui nampenda nani??
I insist..atuachie sisi.Yule unayempenda nae huwa anatuma meseji za 'my nikwambie kitu'? Mwambie hazimfai bwana, hizo atuachie sie kina Mwajei
[emoji13][emoji13][emoji13] nilijua anazungumzia marafiki, kumbe alikuwa anamaanisha ampendayeNa wote umepata Neema ya kuwajua.[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe umeona eeh? Hazimfai hata kidogo aiseeI insist..atuachie sisi.
Hivi marafiki kwa marafiki wanaitanaga "my" pia?[emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13] nilijua anazungumzia marafiki, kumbe alikuwa anamaanisha ampendaye
Wanaitana aiseeHivi marafiki kwa marafiki wanaitanaga "my" pia?[emoji23][emoji23]
Yaah, atuachie kamsemo ketu ka kuwachomolea hela.[emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe umeona eeh? Hazimfai hata kidogo aisee
Mfano Mimi nikuite wewe My? Au lazima iwe rafiki wakike na wakiume?Wanaitana aisee