Hivi wanawake mna nini nyie!

Hivi wanawake mna nini nyie!

Halafu hiki kitambia msichana mnabadilishana namba Siku mbili mbele anaomba umuazome hela inaudhi, kibaya zaidi wadada wanaongoza kwa kutorudisha hela wakiazima! Unasikia my naaomba niazime elfu 30 wiki ijayo nakurudishia, then anaongezea ujue nimekumis my! Shenzi kabisa mm siku hizi nawatolea mbavuni tu!
nyie kizazi gani hampendi kuhonga? mbona waoga hivyo? kuhonga ni mazoezi ya kutunza familia sasa kama huwezi kuhonga itakuwaje utakapo ambiwa baba koti lake limeisha anasikia baridi hivyo naomba hela nimpelekee koti jingine lakini wewe mama yako anaumwa hivyo usahihi hapo usitishe kupeleka gharama za matibabu kwa mzazi wako upeleke koti kwa mkweo halafu kwa hili eti watu watadai umekaliwa kumbe mapenzi tyuuuuuuuuu!
 
hao ndio wanawake...wana kipochi manyoa wanaume hatuna...so lazima watuzingue....hutaki utamu jikate zako....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom