Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Wewe ukiniita sichukii. Ila wewe tuHahahaha
Wewe ukiniita sichukii. Ila wewe tuHahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule unayempenda nae huwa anatuma meseji za 'my nikwambie kitu'? Mwambie hazimfai bwana, hizo atuachie sie kina Mwajei
Usiniambie, nimeshapata jina la kukuitaKumbeee???
Me huwa ukiniita hivyo kwanza najisachi
Binafsi sio mpenzi wa neno MyWewe ukiniita sichukii. Ila wewe tu
🤣🤣🤣🤣🤣Usiniambie, nimeshapata jina la kukuita
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rafikiiiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usije ukafanya nkajisachi mpk nkachokaaa
Hakuna kitu sipendi kama kuniita "my"
Unalichukia pia eti??Binafsi sio mpenzi wa neno My
Haha kumbe unachukia sasa mbona hujaniambiaHakuna ninachochukia kwa Ke kama kuitwa "Baby" Baby gn ana sauti besi na midevu kama Boko Haram?
No silichukii ila ni mpenzi wa maandishi haya love,dear,Sweet.Unalichukia pia eti??
Hahaaa...huwa nanung'unika huku nikikung'ong'a kimya kimya ukinipa turn kisogo.Haha kumbe unachukia sasa mbona hujaniambia
Hahaaa...huwa nanung'unika huku nikikung'ong'a kimya kimya ukinipa turn kisogo.
Taratibu usiamshe watoto kwenye stoo yetu hii Mama, so kwako ni uungwana kunivisha cheo nisichoendana nacho kwa hadhi?Huo sio uungwana sasa