Hivi wanawake mna nini nyie!

Hivi wanawake mna nini nyie!

Tatizo umezidi upole[emoji23][emoji23]unalazimishiwa makosa.
Ingekuwa ni Mimi , mpaka sasa mwelekeo wa huu Uzi ungekuwa mwingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
 
Wewe ulimtafuta kwa Shida zako na Yeye anakufata kwa Shida zake.

Sasa hapo unalalamika nini? Umeanza kamaliza.. Shida iko wapi Ndugu?
 
Binti unamtongoza mwisho wa siku anakwambia ana mtu na hapendelei sana mambo hayo mtu unaamua kuheshimu mawazo yake na unajikalia kando hata sms ulizokuwa unamtumia unaacha.

Hazipiti siku mbili unashangaa mtu anaanza ooh mbona kimya sana tatizo nini! Unamwambia hakuna shida ooh au ulichukia kukwambia nina mtu unajibu hapana oooh basi takufikiria aisee hivi mtu kama huyu mtalaumu?

- Kuna wengine ukichukua namba mkaanza chat kwenye kuelekea kutongoza hazipiti wiki mbili oooh samahani naomba uniazime 20,000 takurudishia.

Hivi nyie mnadhani sisi tunaokota hela eeeh! Acheni ujinga bhana aaah
Weee jamaa nae acha uzwazwa demu lazima aringe kidogo, akuzungushe sasa hapa mbembeleze ikibidi muimbie kilugha um- surprise, lazima alainike tu, ukimwimbia kimakonde cha kwenu,kutoka kuleee Mahurunga.

Kwani sh,20,000/ nini bana, demu anakupa papuchi unaburudika, unalia bila kupigwa, unafurahia viziwa bure, tena wengine mnakunywa na maziwa ya watoto bure? kamwili kazuri hakana magamba km ya dume. unalalia wewe! unavuruga hasa, unataka bure?
Any way mpeane tu siku ukikosa akupe pia ndo maisha

Falsafa ya Jogoo kuku iko juu ya uelewa wako, make yeye ana honga Mtetea chakula bora jogoo asile mtetea ale, watu msio jua kuhonga mademu familia zenu zina shida sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom