Hivi wanawake mna nini nyie!

Hivi wanawake mna nini nyie!

Binti unamtongoza mwisho wa siku anakwambia ana mtu na hapendelei sana mambo hayo mtu unaamua kuheshimu mawazo yake na unajikalia kando hata sms ulizokuwa unamtumia unaacha.

Hazipiti siku mbili unashangaa mtu anaanza ooh mbona kimya sana tatizo nini! Unamwambia hakuna shida ooh au ulichukia kukwambia nina mtu unajibu hapana oooh basi takufikiria aisee hivi mtu kama huyu mtalaumu?

- Kuna wengine ukichukua namba mkaanza chat kwenye kuelekea kutongoza hazipiti wiki mbili oooh samahani naomba uniazime 20,000 takurudishia.

Hivi nyie mnadhani sisi tunaokota hela eeeh! Acheni ujinga bhana aaah
watoto mna tabu kweli kweli, kuna mwanaume anakaa sikuhizi na kusema nimekupenda kweli, sikuhizi unamtoa out then kinachofuata ni kugegeda, sikumbuki ni lini nilianza kusema ohh nakupenda ohhh sijui nakuona kwenye glasi, tumia hela mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom