Hivi wanawake mna nini nyie!

Hivi wanawake mna nini nyie!

Sawa kamanda mbaba
watoto mna tabu kweli kweli, kuna mwanaume anakaa sikuhizi na kusema nimekupenda kweli, sikuhizi unamtoa out then kinachofuata ni kugegeda, sikumbuki ni lini nilianza kusema ohh nakupenda ohhh sijui nakuona kwenye glasi, tumia hela mkuu
 
Nahisi shule zimefungwa; post za ajabu zimeanza ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom