Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,702
- 5,684
Mwanaume unashindwa kutoa 5000?
Hapo unakosea mkuu muelekeze kistaarabu tu atakuelewa asipokuelewa achana nayeKesho nauchuna😂
Sijui ndio ntampoteza jumla
Acha ushamba mtoto wa kiume hiyo code hataki mambo mengi sema una sh ngapi mkamalizaneWe mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?
Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.
Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasikini au?
View attachment 3457889
Hela ipoMwanaume unashindwa kutoa 5000?
View attachment 3458234
Acha ushamba mtoto wa kiume hiyo code hataki mambo mengi sema una sh ngapi mkamalizaneWe mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?
Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.
Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasikini au?
View attachment 3457889
Ni sawa mkuuWatakuomba wengi sana
Ushaonekana kama benki
Yuko mbali kwa sasaAcha ushamba mtoto wa kiume hiyo code hataki mambo mengi sema una sh ngapi mkamalizane
Kumpata unampata vizuri tu halafu ni mbinu ndogo sanaNahisi naliwa timing mzee , unatoa hela
Then inakua mtindo wakd kila siku na kumpata simpati
Mkuu ndio nampa nakula blockKumpata unampata vizuri tu halafu ni mbinu ndogo sana
Mpe hiyo 5k.
Halafu kausha kabisa usimtafute tena baada ya siku tatu ikiwa hapo kati kati hatokuwa amekutafuta yeye.
Kumbuka usimtumie text mpigie simu moja kwa moja.
Naomba😀😀😀😀😀mtu asiombe help mbona nyie mnaombaga papuchi hapohapo
Within 5 hoursAchana nae, tafuta ambae yeye ndio atakupa hela.