Hivi wanawake mkoje?

Hivi wanawake mkoje?

Chambo huliwa ili samaki aliwe..
Sisi ni wawindaji
Mimi mwanamke asieomba pesa ananipa tabu kisenge yaani..
Lakini yule anaeniomba mara vocha sijui elfu tano na kumi
Huyo ni uhakika kuwa nakula..
Kuna muimbaji aliwahi Kuimba,,,,,,,kuchora,kuchora kitu Gani unaweza ukachora na Bado usione ndani!
 
ILANI 2025
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

Kuandaa mkakati wa matumizi ya teknolojia mpya (AI, roboti, blockchain, setilaiti).

Kupanua matumizi ya TEHAMA kwa wananchi vijijini na mijini.

Kuanzisha na kurusha satelaiti za mawasiliano na utafiti.
#kazinaututunasongambele
Copy of CCM BANNERS OFFICIAL _20250829_215806_0000.png
 
Saivi sijibiwi sms tena baada ya kumkwepa aiseee🙌🏼
 
Akikuomba 20k wewe mwambie hiyo sina nimebakiza 5k kwenye simu.
Akiiomba na hiyo wewe mpe.
Kama amekuvutia kingono uaiache kumpa.
Mpe na usimuoneshe kama unamtaka kabisa.
Maana mwanamke anajua kabisa unachokitaka sio kwamba hajui.
So usirudie kama tenzi za rohoni..
Akikuomba tena mpe na usimuombe K wala kumuita sehemu.

Kumbuka wewe unawinda kuwa na subira inawezekana huyo ndie atakuzalia watoto wengi tu na huyo huyo akawa msaada katika maisha yako.

Siku nyingine atakuomba tena 5k maana ashajua kuwa ndio pesa unayomudu kumpa. Mjibu vizuri tu kuwa kuna kazi unamalizia utamrekebishia asihofu.

Ukifika mara tatu unamtumia elfu 5
Basi muendee mazima ili aliwe na mbinu yenyewe ni hii hapa........()

Anaetaka nifungue hayo mabano anitagi tu hapa.
Wanasemaga mdada anaekuomba hela mda mfupi baada ya kumtongoza hakupendi, ila mm kwa uzoefu wangu kuna wadada walikuwa Wananipiga hivyo vizinga vya mda mfupi baada ya kuwatongoza na vya mara kwa mara.

Na kwenye talking stage wanaonesha ishara za kutaka kuwa kwenye uhusiano na mimi, kimaneno na kimatendo sasa nakua sielewi elewi..

Na ni wajanja kweli, ukiwapotezea wanajua kabisa kuwa umewanunia sababu wanakuomba hela mara kwa mara 😄 Fanton Mahal Sonko Bibo Melancholic Equation x
 
Mpk sasaiv sijibiwi sms 😂
Sijui kachukia au la!
Kesho nawaza nimtafute au nimpotezee mpka kesho kutwaa😂😂😂
 
Ni noma sana mkuu,,hawa watu watatuua,,na hapa hata bado sijamtongoza nimechukua namba tuu😂😂😂
*****😁😁sasa ukitongoza si utapewa mkeka wa Kodi, umeme, maji, chakula, vocha, nywele, vikoba,
 
Mpk sasaiv sijibiwi sms 😂
Sijui kachukia au la!
Kesho nawaza nimtafute au nimpotezee mpka kesho kutwaa😂😂😂
Tulia kimya kabisa,, Kisha baada ya siku mbili mpigie simu.
Usipende kuchati na wanawake unapokuwa unataka kumla mkuu
 
Back
Top Bottom