kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
- Thread starter
- #161
Huyo mzee wa mbususu😂😂😂Mwanaume wa maana humu ni mmoja tu mzabzab😊
Huyo mzee wa mbususu😂😂😂Mwanaume wa maana humu ni mmoja tu mzabzab😊
Kama uliisikia Ile ajari mbaya iyotokeaga kipindi kile alikuwepo mule masikini nimebaki bachela bila kupenda waifu material naomba uzibe hili pengo tafadhaliMkeo hajambo?
Ewaah mtu wa maana sana huyu 😄Huyo mzee wa mbususu😂😂😂
Yeye hachaguagi kabisa😂😂Ewaah mtu wa maana sana huyu 😄
Ilimradi unapumua😁Yeye hachaguagi kabisa😂😂
Jamani poleee😂😂 hebu tuone picha ya ajaliKama uliisikia Ile ajari mbaya iyotokeaga kipindi kile alikuwepo mule masikini nimebaki bachela bila kupenda waifu material naomba uzibe hili pengo tafadhali
Fungua pm sasa nikuonesheJamani poleee😂😂 hebu tuone picha ya ajali
Tuma hapa hapa kwa faida ya membersFungua pm sasa nikuoneshe
Member gani tena mimi nataka uone wewe tu wadada wa humu wasije nisumbua pm huko kutaka kuziba pengo your only oneTuma hapa hapa kwa faida ya members
Funga Pm.
Kama ni hivyo itabidi nibadilishe hii IDKwani kati ya "nyuki" na "ua" ni kipi kinamvuta mwenzake?
Jibu ni kwamba ua ndilo linavuta nyuki kwa ushawishi wa harufu.
Kwa hiyo wanawake ndiyo mnaotuvuta sisi wanaume, mfano, jina lako la mvuto yaani waifu material tena umeliandika kwa Kiswanglish "waifu".
Sasa kwa staili hii utaachwaje kutongozwa waifu material ?
Angalia majina kama Miss Natafuta , Evelyn Salt n.k
Taja sifa zako nikuthaminishe kama unafaaMember gani tena mimi nataka uone wewe tu wadada wa humu wasije nisumbua pm huko kutaka kuziba pengo your only one
Kwamba ??Mwanaume wa maana humu ni mmoja tu mzabzab😊
Mh hapa ndio naenda kupigwa kibuti mchana kweupe okTaja sifa zako nikuthaminishe kama unafaa
Nikajua ni mimi pekee tu ndio ninayeshangazwa na hili...Hawa jamaa bana unamtongoza humu mwanamke usiemjua,mkikubaliane mkutane unakuta mwanamke ana sura kama fisi unamkimbia
Kama unaweza kukwea mnazi kwa hisia tu kuwa upo na manzi utashindwa kutongoza I'dNikajua ni mimi pekee tu ndio ninayeshangazwa na hili...
Yaan kabisa mtu anakomaa anatongoza ID bila hata kuwa na uhakika 100% kuwa anayewasiliana naye ni mwanamke? Inashangaza na inasikitisha jinsi vile wanaume wenzetu baadhi wa humu walivyo desperate.
Lakini pia inawezana hakuna kitu kama hicho, bali hii mada muhusika kaileta kwa kutafuta attention tu au kujipa self-validation kwamba na yeye ana soko.
Namna hiyoKwamba ??
Sijakufungia wewe wala ila hatukuchart humu tulichart kule lile group mbona umesahau"You have no recent conversations"
Na PM ukafunga ila wew