Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,910
- 21,948
Sawa. IkikupendezašKama ni hivyo itabidi nibadilishe hii ID
Sawa. IkikupendezašKama ni hivyo itabidi nibadilishe hii ID
Huna kazi kubwa. Ww ni kukubali au kukataaSipendi usumbufu ndiyo maana
Nkmefunga kabisa wasiingieHuna kazi kubwa. Ww ni kukubali au kukataa
Ngoja nilifikirie zaidi hili swalaSawa. Ikikupendezaš
Hapo swaaaaafi kabisaNkmefunga kabisa wasiingie
Nakuja pm tufikiri wawiliNgoja nilifikirie zaidi hili swala
A lot of women are single because of pride.Moja ya sababu ilinifanya nifunge PM, kuna watu wa hovyo sana na wako so entitled š®š®š®
WENGI???
Usikutane na mtu from JF, nafikiri ni kujitafutia matatizo tu.
šš
Kisaa cha kutengwa niambiweIla wewe š utengwee
Naam?Kisaa cha kutengwa niambiwe
Jitoe ufahamu ninunulie gari roho inaniambia unao uwezoNaam?
Weeee! Kwel?. šJitoe ufahamu ninunulie gari roho inaniambia unao uwezo
Eh najua ww ni mmbaba fulani fine fine hela ndogo ndogo huwazagi ml 50 ni ndogo sana wewe hata range unaweza kununuaWeeee! Kwel?. š
Kumbe Una kakiburi Fulani hivi, afu ni kabishi kabishi, watakukomesha mpaka akili ikukae sawa!Naacha hivyo watakaoelewa wataelewa
Ndiyo umerudi leo na nilishasahau, sasa hiyo heading huwa haiwezekani kuedit labda umwambie moderatorKumbe Una kakiburi Fulani hivi, afu ni kabishi kabishi, watakukomesha mpaka akili ikukae sawa!
Aaah, hapo Sawa! Basi umesamehewa dear!Ndiyo umerudi leo na nilishasahau, sasa hiyo heading huwa haiwezekani kuedit labda umwambie moderator
Dah! Nisamehe mkuu nilikuwa sijaona kama naongea na kaka mkubwaAaah, hapo Sawa! Basi umesamehewa dear!
Nilijua umeota mapembe unaanza kubishana na Kaka zako!
šš basi imetoshaaa!!Eh najua ww ni mmbaba fulani fine fine hela ndogo ndogo huwazagi ml 50 ni ndogo sana wewe hata range unaweza kununua
Tena??šš basi imetoshaaa!!
Umekoleza chumvi sanašTena??
Umesamehewa, na sasa amani itawale, enjoy!Dah! Nisamehe mkuu nilikuwa sijaona kama naongea na kaka mkubwa