Ni kwanini wanaume ndio tulianzishe tu kila siku?

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,476
17,674
Utaratibu uliojengeka miongoni mwa wanawake ni kwamba siku zote mwanaume ndiye anayeanzisha “movie ya mambo yetu yale” na ndiye steering kwa kila kitu. Yaani hata mwanamke awe na nye** kiasi gani hawezi kuomba mchezo, sembuse kuonyesha dalili, eti mpaka mwanaume mwenyewe amuombe! Hii haikubaliki hata kidogo.

Jamani, hata kuonyesha morali wa uhitaji hakuna? Ndiyo nini sasa? Mimi nikiona namna hii, huwa nauchuna mpaka zinapita siku 2 hadi 3, nikiona response ni ZERO, naenda zangu kugonga nje. Nikija nakata siku zingine 3, halafu baada ya hapo lawama zinaanza—kwamba kwanini sifanyi kazi yangu—na kutuhumiwa kwamba huenda kuna mahali nagonga. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Kila siku nianze mie tu? Unajua hili suala linaboa sana.

Wanawake mnapaswa kubadilika. Msitegemee wanaume ndio waanze tu. Hata nyie mnapaswa kuwa mstari wa mbele kudai haki yenu ya msingi. Haki sawa kwa wote, au vipi? Mkiendelea kukaa kimya na nye** zenu, mtagongewa nje mpaka kieleweke. Mmeona eeh?

Inapokuwa mwanaume ndiye anaanzisha ‘mchezo’ peke yake kila siku haileti picha nzuri. Hii huleta hisia mbaya kwa mume kiasi cha kujihisi kama vile anabaka. Ndiyo. Kumtaka mtu ambaye siku zote haonyeshi hisia za shughuli muifanyayo kunajenga picha mawazoni kwamba huenda mke hana hamu ya mambo hayo na kwamba huenda anajilazimisha tu na kuigilizia hisia za bandia ili kumridhisha mwenza wake. If this school of thought is correct, how is it different from obtaining the service from hooker? Think BIG and reason.
:help:
 
Haaa. kweli watu wametofautiana. Sasa bora huyo wako yaani hasumbui ye asikilizia tu. Maana mi huyu wangu mpaka kero yaani hata kama hukujiandaa utakoma mabalaa yake. Na ole wako umtolee nje utakoma.
 
Embu mwambie wifi achangamke yaani, anashindwa kuomba wakati ni haki yake.
 
Utaratibu uliojengeka miongoni mwa wanawake ni kwamba siku zote mwanaume ndiye anayeanzisha "movie ya mambo yetu yale" na ndiye steering kwa kila kitu. Yaani hata mwanamke awe na nye** kiasi gani hawezi kuomba mchezo, sembuse kuonyesha dalili, eti mpaka mwanaume mwenyewe amuombe! Hii haikubaliki hata kidogo.

Jamani, hata kuonyesha morali wa uhitaji hakuna? Ndiyo nini sasa? Mimi nikiona namna hii, huwa nauchuna mpaka zinapita siku 2 hadi 3, nikiona response ni ZERO, naenda zangu kugonga nje. Nikija nakata siku zingine 3, halafu baada ya hapo lawama zinaanza-kwamba kwanini sifanyi kazi yangu-na kutuhumiwa kwamba huenda kuna mahali nagonga. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Kila siku nianze mie tu? Unajua hili suala linaboa sana.

Wanawake mnapaswa kubadilika. Msitegemee wanaume ndio waanze tu. Hata nyie mnapaswa kuwa mstari wa mbele kudai haki yenu ya msingi. Haki sawa kwa wote, au vipi? Mkiendelea kukaa kimya na nye** zenu, mtagongewa nje mpaka kieleweke. Mmeona eeh?

Inapokuwa mwanaume ndiye anaanzisha ‘mchezo' peke yake kila siku haileti picha nzuri. Hii huleta hisia mbaya kwa mume kiasi cha kujihisi kama vile anabaka. Ndiyo. Kumtaka mtu ambaye siku zote haonyeshi hisia za shughuli muifanyayo kunajenga picha mawazoni kwamba huenda mke hana hamu ya mambo hayo na kwamba huenda anajilazimisha tu na kuigilizia hisia za bandia ili kumridhisha mwenza wake. If this school of thought is correct, how is it different from obtaining the service from hooker? Think BIG and reason.
:help:

hivi na wao wakija apa kukuuliza KWANINI NA WAO MAZA HAUSI KILA SIKU...wakitaka ufaza hausi utaona fair kweli??
in nature sisi ni watafutaji...si kwenye chakula wala maisha..adi kwenye papuchi..:eyebrows:
 
Mhhh katika mahusiano sijawahi ona soo kuomba au kuanzisha mchezo with my man....nataka najieleza,muambie ur girl unapenda awe anakuanza atazoea,
 
Kwanza kabisa wewe huna kazi. Pili,haujui kumtreat a woman like a queen. Lazima umwombe umbembeleze umtekenye umwimbie nk basi ajiskie .ukishafanya hivyo utamwona anaanza kushika kitasa na kufungua mlango taratibu mara kashkka koni.

Just love a woman in your own way my bro.
 
Wewe sio rafiki kwa mkeo jenga mazingira ya upendo awe free kukuambia chunguza maisha yako huenda wewe ni mkali

Ni muhimu akuambie anataka kukunwa pool tena mke wa ndoa..
 
Wewe sio rafiki kwa mkeo jenga mazingira ya upendo awe free kukuambia chunguza maisha yako huenda wewe ni mkali

Ni muhimu akuambie anataka kukunwa pool tena mke wa ndoa..

Kuna kesi moja niliwahi kuihandle ya namna hii, mwanamke akianza kuomba game mwanaume anamlaumu kuwa ni kicheche kwani mwanamke aliyefunzwa vyema kwao hawezi kuomba game. Na mwanamke akisema auchune mwanaume anaanza kumlaumu kuwa hana stimu so kuna mahali anagongwa nje!! Hii kitu ilimfanya binti wa watu awe puzzled kwa muda mrefu ila siku alipoamua kufyatuka jamaa alitia akili. Ilikuwa ni ugomvi mkubwa mwanamke anadai talaka mpaka jamaa ikabidi aombe usaidizi.

Nilimpa mshikaji makavu siku hiyo, hatakaa anisahahu!! Maana alikuwa anatuaibisha sana!!

Turudi kwenye mada, ni dhahiri jamaa hana urafiki wa karibu na mkewe kwa sababu ya vimada!! Hamtendei haki kabisa, yaani yeye akiwa na kiu anatoka nje anamwacha mkewe anaugulia!! jambo la aibu kabisa kabisa
 
we hujamsoma tu mwenzio hata sign zake, anaanzisha sana sema unampotezea
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom