Hivi...wanaume tu ndio wapweke?!

Riwa

Platinum Member
Oct 11, 2007
2,607
3,065
Kila nikipita hapa 'love connect' nakuta posti za wanaume tu nyingi zikisema wako wapweke wanatafuta wenza/wapenzi/wake/wachumba/marafiki wa kike...hadimu sana kukuta mwanamke kaposti kutaka mwenza (labda bebii tu naye alituzeveza maana hatukupata majibu ya applications zetu!).

Sa najiuliza, hivi ni wanaume tu ndio wapweke na wenye uhitaji wa wenza? Au dada zetu mnaugulia tu kimya kimya? Tangazeni bana watu wachangamkie...
 
Natangaza rasmi nia.........
 
Kwa mila zetu, mwanaume ndo huwa anaanza, so tunaona aibu sie wadada.....:)
 
mimi inanishangaza wanaotangaza wengi ni new member
je wazoefu humu hakuna mwenye upweke?lol
 
Kila nikipita hapa 'love connect' nakuta posti za wanaume tu nyingi zikisema wako wapweke wanatafuta wenza/wapenzi/wake/wachumba/marafiki wa kike...hadimu sana kukuta mwanamke kaposti kutaka mwenza (labda bebii tu naye alituzeveza maana hatukupata majibu ya applications zetu!).

Sa najiuliza, hivi ni wanaume tu ndio wapweke na wenye uhitaji wa wenza? Au dada zetu mnaugulia tu kimya kimya? Tangazeni bana watu wachangamkie...

Bebii popote ulipo njoo ujibu tuhuma hapa...
 
Kila nikipita hapa 'love connect' nakuta posti za wanaume tu nyingi zikisema wako wapweke wanatafuta wenza/wapenzi/wake/wachumba/marafiki wa kike...hadimu sana kukuta mwanamke kaposti kutaka mwenza (labda bebii tu naye alituzeveza maana hatukupata majibu ya applications zetu!).

Sa najiuliza, hivi ni wanaume tu ndio wapweke na wenye uhitaji wa wenza? Au dada zetu mnaugulia tu kimya kimya? Tangazeni bana watu wachangamkie...
bado sijasoma pm zenu sijapata nafasi?
 
Nashukuru sana Riwa kwa kuliona hilo, Mabinti wengi sio hulka yetu kusema tukiwa wahitaji.

Mimi ni Mpweke sanaa.. Nahitaji wa kuniliwaza....
Ni PM tu, nitajibu bila hila...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom