Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,068
Kila nikipita hapa 'love connect' nakuta posti za wanaume tu nyingi zikisema wako wapweke wanatafuta wenza/wapenzi/wake/wachumba/marafiki wa kike...hadimu sana kukuta mwanamke kaposti kutaka mwenza (labda bebii tu naye alituzeveza maana hatukupata majibu ya applications zetu!).
Sa najiuliza, hivi ni wanaume tu ndio wapweke na wenye uhitaji wa wenza? Au dada zetu mnaugulia tu kimya kimya? Tangazeni bana watu wachangamkie...
Sa najiuliza, hivi ni wanaume tu ndio wapweke na wenye uhitaji wa wenza? Au dada zetu mnaugulia tu kimya kimya? Tangazeni bana watu wachangamkie...