Hivi wanandoa ni nini hasa mnachofaidi huko?

Hivi wanandoa ni nini hasa mnachofaidi huko?

Umeleta uzi huu ili tukutambue kuwa umezaliwa nje ya ndoa? si umuulize baba/Mama yako kwanini hakuoa/kuolewa au kwa nini ameacha/ameachika? au muulize baba yako yeye anafaid nini kwenye ndoa yake? uongoz wa JF tuanzishen jukwa la walevi tafadhari!

Mdau kama umeolewa nampa pole aliekuoa! kilaza, busara ziro na hajui kuchagua maneno ya kuongea!
Embu acha personal attack na ujifunze adabu!
 
jaxonwaziri...umemjibu mawe mwenyewe kauliza pamba!

Mkuu, at every opportunity you get, you need to give these kids a perspective.
Some of them weren't told at home, and yet still, they don't notice as they grow up. All of a sudden they are 28 and want to get married, and with all yapping around about money, michepuko,'ndoa-is-no-different-from-uhusiano-wa-kawaida-wa-kimapenzi', one can only guess what would be the results when such people get married.
 
Last edited by a moderator:
Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!

Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!

And yet, all roads lead there! It makes you wonder right?
And when curiosity builds up you take your chances there just like curiosity kills the cat!
 
huwez pata sababu hapa coz kila mtu anaingia ndoani kwa sababu yake cjui yako itakua vp,
Kuna wanaotaka umiliki wa kudumu
Kuna wanaotaka urithi wa pesa
Kuna waliochoshwa na kuulizwa umri unaenda
kuna wanaotaka watoto
Kuna wanaotoka kufuliwa na kupika
kuna wanaopunguza ukali wa maisha.
Sasa hapo kila mmoja ana lake linalomkosha humo mjengoni

Nakubali kila raia huingia huko (ndoani) kwa sababu yake, but at least waseme ingeneral hayo mazuri yapatikanayo huko! Najua kwamba hayo mazuri yanatofautiana ndoa hadi ndoa! But ni kama yapi?
 
Kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?

Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!

Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!

ndoa ni ibada,kama binadamu ulie msafi kiroho na kimwili utakiwi kuhoji kunani,oa uwe mkamilifu sio kuendekeza uzinzi.
 
Inabidhi nianze mbali kidogo,

Ndoa ni makubaliano ya kisheria baina ya mwanaume na mwanamke yanayo halalisha kuishi na kufanyatendo la ndoa kwa mujibu wa sheria.

Lengo; Ni kupata kizazi chema (chenye kukubalika kisheria)

Faida za ndoa;

  1. Heshima; alie oa na anae ishi na binti tu au bwana status zao ni tofauti katika jamii
  2. Kupata kizazi chanye malezi bora (baba na mama); malezi ya mtoto wa ndani ya ndoa na ambae hajazaliwa ndani ya ndoa ni tofauti, walio ndani ya ndoa huwa wanapata malezi bora zaidi (kwa asilimia kubwa)
  3. Ibada; ndoa ni sehemu ya ibada haswa kwa waislamu, inasiadia kuongiza maksi katika mambo mema.
  4. Utulivu; unapokuwa na mke sahihi au mume sahihi, unakuwa na utulivu katika moyo tofauti ukiwa na girl friend or boy friend utulivu hamna kwakuwa any time ana broke nawe kiroho safi halafu roho ikauma.
  5. Inapanua fikra za kimaisha; unavyofanya shughuli zako, haujifikirii wewe peke yako, unaifikiria familia yako.

Nategemea utapata kitu hapo.
 
Kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?

Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!

Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!
si useme tu bahati ya kuolewa huna watu wanapita na kuperuzi afu haooo wanasepa...
ukiona hivi ujue huna bao.
nenda kwa GWAJIMA akupe UPAKO
BAABA YAKO ALIMUONA MAMA YAKO UKAPATIKANA WEWE
 
Nazidi kuamini kwamba ndoa hamna kitu! Hivi ni siri gani isiyoelezeka karne ya 21 hii?

Amna lolote!

Ni Kweli hamna lolote man...wasikubabaishe...hata mi nawaambiaga mara kibao..yani sikuizi sijui kuna nini ambacho ni siri..
 
Ndoa tamu dogo ni zaidi ya hayo uliyoandika hapo
Jaribu kuingia utajionea mwenyewe
Haswaaa, especially kama ulioa mtu wa chaguo lako mwenyewe, sio chaguo la marafiki wala wazazi.
 
Everything. Love, sex, companionship, starting a family together, falling in love over and over again. Its amazing.

Na sio kinyume cha hiyo makitu? Wa jango hapo bado sjakusouma! Mtu kadiri unavyokuwa karibu nae ndipo mnapoishi kwa mazoea, suala la mapenzi inakua hadithi tu ktk midomo yenu!
 
Aya majibu yanafanana yote!
Na kama mtihani wangu mngejibu hivyo ningewapiga marongi nyote na mngefagia uwanja!

Jamani kuna lisiloelezeka kweli? Au ndio nawakumbusha machungu muyapatayo huko? Teh teh teh!

Utafanya uasherati hadi lini....? Utabadili wanawake hadi lini....? Mimi sijao but nadhani nikioa ntarahisisha baadhi ya majukumu kama kusimamia biashara au miradi yangu vipo vitu vingi bana tafuta vitabu vya kiislamu naona hawa jamaa wanachambua vizuri.
 
Kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?

Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!

Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!

Sikubaliani nayo kabisa hayo usemayo,ndoa ina raha yake bhana,we ingia utaona acha uoga.
 
Back
Top Bottom