Ndoa ni nzuri sana kwani unapata msaidizi wa kushare naye la moyoni, unapata mfariji wa karibu, unakula tunda kwa furaha bila hofu wala hatia, unapata mtu wa kuzungumza nae faragha/usiku, unakuwa na mtu wa kufanya nae mambo yenu kifamiliya, mnazaa na kulea watoto pamoja, ndoa huondoa msongo wa mawazo, ndoa huleta heshima kifamilia na kijamii, ndoa huleta baraka kubwa, nifahari sana kitoka na mkeo unakwenda out, kwenye ibada,, kwenye harusi, kisalimia ndugu na jamaa au kwenda popote pale.
Ndoa ni tamu tena tamu sana, wakati ukifika utaona japo unaweza usifurahie kutokana na mtazamo hasi ulionao juu ya ndoa. Angalizo: pata mwezi unaefanana nae utafurahi vinginevyo utaumia, hayo ni machache tu.