chamlungu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 326
- 339
Hapana!
Adhabu ya kaburi na ndoa hata havihusiani! Mtu aliekufa haiwezekani kuulizwa and/or kurudi na kuishi tena! Wakati wanandoa wanaweza kuulizwa na pia wanaweza kuachana wakawa mabachela!
Swali liko pale pale!
Ivi mnatunyima nini huko ndoani (ambacho sisi hatupati?)
Maana yangu hakuna anayeweza kukwambia hasa anachokipata ndani ya ndoa yake. Ni jambo la siri kwa sababu ndoa iko too personal. Unachoweza kujua ni mambo ya nje ya ndoa, na si ya ndani ambayo wewe unataka kuyajua. Hayo mambo SI unique kwa kila ndoa, yanatofautiana. Ndio maana huwezi kujua ya kaburini mpaka ufe, vivyo hivyo kwenye ndoa mpaka uoe. Ulishawahi kumsikia mzazi au hata kungwi/somo anamwambia mtoto /mwali wake anayofanya chumbani? Ni sababu kila mtu ana formula katika ndoa