Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Sio kosa lako....Duh! Na laiti ungejua sababu zinazofanya watu waoane....!
Shinikizo kutoka kwa ndugu na wazee!
Genye mshindo na ukame!
Maisha (ke)
nk!
Sio kosa lako....Duh! Na laiti ungejua sababu zinazofanya watu waoane....!
Shinikizo kutoka kwa ndugu na wazee!
Genye mshindo na ukame!
Maisha (ke)
nk!
kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?
Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!
Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!
Kama hutaki kuoa si uolewe tu
aisee ndoa tamu ndoa raha kakaKulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?
Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!
Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!
wazazi wako wasingekuwa kwenye ndoa leo usingekuwa na jeuri ya kukaa kwenye keyboard na kuandika unayoandika hapa.ukitaka kujua ndoa ni nini basi ichukulie kama taasisi zilivyo nyingine na siyo ndoa kama tukio.
The temptations are many but the reasons are none
Na sio kinyume cha hiyo makitu? Wa jango hapo bado sjakusouma! Mtu kadiri unavyokuwa karibu nae ndipo mnapoishi kwa mazoea, suala la mapenzi inakua hadithi tu ktk midomo yenu!
Hawara anauma sana wewe?Kuchapiwa mke ni siri ya ndani
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kwaiyo hapa sina jinsia! Au unamaana gani mkuu?
Sio kosa lako....
Unakuwa umekamilika,we hujawahi kuta mtu asipooa anaulizwa mbona huoi watu wanaogopa usije ukawa sio riziki!
akikua atajua tu....
Hilo la kuchapiwa tena ni jingine na ni matatizo yaletwayo na mtu binafsi! Kitendo cha kuoa tu kinaonesha mtu kakomaa kifikra!Hahahahahahaaaa...! Umenichekesha sana stable woman!Kuoa si urijali! Kuna wanaooa na kushindwa kuwashughulikia wake zao as a result wake zao wanaliwa nje!Na utamuitaje mtu si riziki wakati ana maduu kibao na wote anawakwanjua? Teh teh teh! (ni mfano tu!)