Hivi wanandoa ni nini hasa mnachofaidi huko?

Hivi wanandoa ni nini hasa mnachofaidi huko?

hahahaaaa..kwa hiyo ukiwa karibu na Mr ndo unapata uhuru wa ku.fart eeeh!! Teeeeh

Yan ulijuaaaaje!
Kama kingekuwa kinawekeka nngefungua kibubu cha asbh mpk jioni tukikutana!
 
Mapenz,uaminif zaid..pia kuweka heshima kwenye jamii na familia yko/ukoo!
 
napita tu............................:llama:
 
Kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?

Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!

Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!

Wakuu,

Hili swali ni zuri sana na ni kipimo tosha cha kujua ni kwa namna gani binadamu tunafikiri (wakati mwingine) kama mashine (mfano wa compyuta).

Ijapokuwa kuna ambao wamejaribu kulijibu swali hili lakini wengi wamejibu haraka bila ya kufikiri sana.

Sababu inayofanya tutoe majibu kwa swali kama hili inategemeana na nini tunajua kuwa ni 'ukweli' katika 'subconscious level' (ROM) zetu baada ya 'conscious level' (RAM) kukosa majibu ya haraka.

Ni kama mtu anakuuliza kama umewahi kufika mahali fulani. Kitu cha kwanza kitakachokuja akilini ni kutafuta katika 'conscious level' ya akili yako kuhusiana na eneo uliloulizwa. Ukilipata, basi utajibu ilhali ukiliona eneo hilo katika akili yako. Kama hukulipata katika 'conscious level' huenda kulitafuta katika 'subconscious level'. Huko nako kama jibu lipo litaletwa katika 'consious level'. Utaratibu huu wa kutafuta kutoka 'subconscious level' na kuleta katika 'conscious level' huchukua muda; sekunde, nusu dakika hata wiki. kama halikupatikana katika 'conscious level', basi kutegemeana na nini unajua kuwa ndiyo 'ukweli' wa eneo tajwa, utaanza kutengeneza picha ya eneo husika hata kama hujawahi kufika. Ukishatengeneza picha, italetwa katika 'conscious level' na hatimaje jibu hutolewa.

Mwisho; swali la mtoa mada halina jibu la moja kwa moja sababu linategemea vitu vingi; nini maana ya mapenzi, malezi, mazingira aliyokulia na anayoishi mhusika na pia nini kinatafsiriwa kama ni 'ukweli' juu ya namna sahihi ya kuishi katika 'subconscious level' ya mhusika.

Tafakari.
 
Well said mkuu! Naona umemsouma vizuri sana Joseph Murphy!
...
Wenye ndoa mnyooshe maelelezo, mwatunyima nini huko?
 
Faida za ndoa ulizozieleza ni chache sana, zipo za direct na indirect, nyingi ya hizo faida sio rahisi kuzielezea, kwa mfano mtu ambae hajawahi kutumia hii forum akuulize kuna faida gani kuwa member jf, jaribu kujibu utaona inavyokuwa ngumu (naamini kila mtu humu ndani anaziona faida zake ndio maana bado anatumia muda wake na bando)
 
Ingekuwa hamna kitu watu wasingeililia, na wewe usingekuwa anxious kutaka kujua kilichomo....

Duh! Na laiti ungejua sababu zinazofanya watu waoane....!

Shinikizo kutoka kwa ndugu na wazee!
Genye mshindo na ukame!
Maisha (ke)
nk!
 
Ndoa sio kaburi la mapenzi. Ndani ya ndoa mapenzi yanakuwa yakiongezeka. Tena mapenzi yenye security, sio kukaa ukiwaza lini utapigwa kibuti.
 
Khaa! Hadi niingie? Embu taja huo utamu wake ili unishawishi!

Yani in short wewe hujampata yule wako haswaa maana once you do hauhitaji kushawishiwa. Mwenyewe utachukua maamuzi magumu yenye tija.
 
Ni sehemu pekee ambayo unafanya tendo la ndoa bila Condom na kutoka bila mawazo.
 
wanakuzidi kuongeza stress za kuchapiwa... yani bora uchapiwe demu kuriko mke kabisa tena umemleta ndani kwa tarumbeta

Hawara anauma sana wewe?Kuchapiwa mke ni siri ya ndani

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom