makong012
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 299
- 625
Sasa mbona unaonekana kama mweupe ni maswala ya dini ndo yanakufanya uwe ivyoSiyo wewe wala kimburu yoyote kwenu anayenifikia kwa elimu dunia
Sasa mbona unaonekana kama mweupe ni maswala ya dini ndo yanakufanya uwe ivyoSiyo wewe wala kimburu yoyote kwenu anayenifikia kwa elimu dunia
Siyo wewe wala kimburu yoyote kwenu anayenifikia kwa elimu dunia
Si mliambiwa mnawaita shekhe ubwabwa ,mnawataka wa nn tena?Kwamba hakuna ndugu na rafiki zetu waislam waliouwawa hiyo October 29?
Waislamu ndiyo wameiba kura Wewe mnuka midomo wa Kagera? Sasa nyege za nn si mfanye nyie mlioandamanaKwaiyo kwako
Kuiba kura✅
Kuteka, kubaka, kufira na mauaji ✅
Ufisadi ✅
Kuuza bandari, Ngorongoro ✅
Kubambikia kesi ✅
Na kobazi unaona iyo sawa, ila wanaopinga huo uhuni ndo wabaya.
Kwani wanaotekwa na kuuliwa hakuna waislam?
Yuko wap muislam Ally kibao
Twaha Mwaipaya
Wanaokosa maji, umeme, elimu Bora,maji na madawa hakuna waislam?.
Wanaokosa ajira hakuna kutokana na ufisadi na nepotism hakuna waislam?
Barabara mbovu kutokana na ufisadi zinaua wote waislam na wasio waislam.
Hao mafisadi hawaangalii dini ya mtu, wanawatesa nyote
Mmeona madhara yake ,hata Mimi nimefurahi ile ni karma ya kuwadhihaki mashekhe wetu ..Mkombe tena.😅😅Sawa shekhe ubwabwa, 😄 natania usije niua bure
Ukiwa kobazi hata uwezo wa kufikiri unakua mdogo sana.Mashekhe waliyajua haya, mkaambiwa msifanye vurugu yaani wamarudia mara nyingi , nyie na laana zenu mkawaita mashekhe ubwabwa , ulitaka wawaombee nyie wakaidi?
Leo mnawataka wale mashekhe ubwabwa, wenzenu wana akili walijua yatatokea , sasa nyie wachochezi mnabweka ..Hatuwezi kuungana na nyie mlivyoita mashekhe ubwabwa , ona kilichotokea .M
Tuliza kinyeo msukuma Wewe ,peleka Ushamba wako mbele..Leo mnawashobokea mashekhe ubwabwa ,si mnasema hawana akili 😅😅.Ukiwa kobazi hata uwezo wa kufikiri unakua mdogo sana.
Chaguzi zimebakwa,watu wanatekekwa,wanauawa halafu mnashadadia maovu hayo🚮
Na ww kafir ushapewa pampers basiKobazi washapewa tende na halua
Hawana habari na mambo ya msingi
kwahiyo mashehe ubwabwa wana akili kuliko maaskofu sio?Mashekhe waliyajua haya, mkaambiwa msifanye vurugu yaani wamarudia mara nyingi , nyie na laana zenu mkawaita mashekhe ubwabwa , ulitaka wawaombee nyie wakaidi?
Leo mnawataka wale mashekhe ubwabwa, wenzenu wana akili walijua yatatokea , sasa nyie wachochezi mnabweka ..Hatuwezi kuungana na nyie mlivyoita mashekhe ubwabwa , ona kilichotokea .M
Aliyepo ikulu ni Islam, wanaogopa wataonekana wanampinga "muislam"mwenzao, nchi hii kuigawa, kitu kidogo Sana,Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mpaka sasa Kanisa Katoliki (RC) na makanisa yote ya kikiristo kupitia muungano wa makanisa yote (CCT) wametoa wito kwa waamini kuwaombea ndugu waliopoteza maisha kwenye mauaji ya halaiki ya MO29. Pamoja na kuombea marehemu na kuwafariji ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao, wamehimizana kumuomba Mungu aepushie mbali au kupunguza makali ya mvua za Elnino zinazotarajiwa kunyesha mwanzoni mwa Novemba.
Cha kushangaza, ndugu zetu katika imani (waislamu) hadi sasa wamekaa kimya kana kwamba wao hili jambo haliwahusu. Inashangaza sana. Ina maana wao hawakufiwa kwenye mauaji ya MO29 au Elnino ikija itawadhuru makafir tu? Au ndio kusema kuwa mauaji ya MO29 na Elnino ijayo ni matokeo ya ukafir hadi wagome kujihusisha nayo?
Wao kila siku wamekaa pale wamevaa kanzu na kobaz zao wanavimbisha vichwa kisa tu nchi inaongozwa na muislamu mwenzao. Wana tatizo la feel good effect....kwamba wanajisikia raha automatically kwa sababu ya nchi kuongozwa na muislamu. So what? Yakhe, hawana khaya!
MAONI YANGU
Naomba waislamu wajitokeze kuungana na wakristo katika kukemea maovu yanayoendelea katika nchi hii na pia kuombea nchi dhidi ya majanga. Kujikita kumuombea Samia tu kwa kuwa ni muislamu mwenzao hakuwezi kuwapa manufaa yoyote.
Nawasilisha.
😅😅Unamuuliza nan? Ufananisha mashekhe na watu wa hovyo wanaohamisha vurugu ,mlishaambiwa na tulishasema yakitokea matatizo hatuhusiki ,kwa kuwatusi mashekhe basi pambaneni na TEC waliowachochea.kwahiyo mashehe ubwabwa wana akili kuliko maaskofu sio?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mpaka sasa Kanisa Katoliki (RC) na makanisa yote ya kikiristo kupitia muungano wa makanisa yote (CCT) wametoa wito kwa waamini kuwaombea ndugu waliopoteza maisha kwenye mauaji ya halaiki ya MO29. Pamoja na kuombea marehemu na kuwafariji ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao, wamehimizana kumuomba Mungu aepushie mbali au kupunguza makali ya mvua za Elnino zinazotarajiwa kunyesha mwanzoni mwa Novemba.
Cha kushangaza, ndugu zetu katika imani (waislamu) hadi sasa wamekaa kimya kana kwamba wao hili jambo haliwahusu. Inashangaza sana. Ina maana wao hawakufiwa kwenye mauaji ya MO29 au Elnino ikija itawadhuru makafir tu? Au ndio kusema kuwa mauaji ya MO29 na Elnino ijayo ni matokeo ya ukafir hadi wagome kujihusisha nayo?
Wao kila siku wamekaa pale wamevaa kanzu na kobaz zao wanavimbisha vichwa kisa tu nchi inaongozwa na muislamu mwenzao. Wana tatizo la feel good effect....kwamba wanajisikia raha automatically kwa sababu ya nchi kuongozwa na muislamu. So what? Yakhe, hawana khaya!
MAONI YANGU
Naomba waislamu wajitokeze kuungana na wakristo katika kukemea maovu yanayoendelea katika nchi hii na pia kuombea nchi dhidi ya majanga. Kujikita kumuombea Samia tu kwa kuwa ni muislamu mwenzao hakuwezi kuwapa manufaa yoyote.
Nawasilisha.
Waislamu ndiyo wameiba kura Wewe mnuka midomo wa Kagera? Sasa nyege za nn si mfanye nyie mlioandamana
shobo tu wajinga nyie ,si muende kwa hao TEC waliowachochea.
Tuwe fea tu, masheikh walionekana hawana akili toka mwanzo, sasa hawa ambao hawana akili,je watatoa wapi akli za kuombea marehemu
Nadhani tusiwe na mambo mengi katika hili
Unless, mbadolishe kauli zenu kwamba Mtusamehe tulikosea kusema masheikh hawana akili!
Baada ya hapo sasa ndio tuje kujadili kwanini masheikh nao hawatangazi dua ya kuwaombea marehemu period
Nina udhu ,angalia harufu ya midomo kama kinyesi inafika mpaka huku ,kama pale mwananyamala😅😅Umetawaza tayari?
Hatutaki shobo ,😅😅mnuka midomo endelea kupiga keleleMashehe ubwabwa washafika bei.
Wote tuwakemee wauaji na watekaji.
Haya matendo mabaya yanawaathiri wote wakiwamo waislam.
Kwaiyo mashehe kujiona kama utekaji na mauaji, ufisadi nk ni vitu visivyowahusu ni ujinga
Achana nao hawa wajinga ,walishaambiwa na yule shekhe zaidi ya mara mbili ,wakasema eti ni mashekhe ubwabwa ..Hawa wametukana viongozi wa kiislamu sio wa kukaa nao ,Mungu kajibu wameona matokeo.Tuwe fea tu, masheikh walionekana hawana akili toka mwanzo, sasa hawa ambao hawana akili,je watatoa wapi akli za kuombea marehemu
Nadhani tusiwe na mambo mengi katika hili
Unless, mbadolishe kauli zenu kwamba Mtusamehe tulikosea kusema masheikh hawana akili!
Baada ya hapo sasa ndio tuje kujadili kwanini masheikh nao hawatangazi dua ya kuwaombea marehemu period
Usiwawekee maneno yako midomoni mwao,wao kwa elimu ya dini waliyo nayo walijitokeza hadharani na kutahadharisha kabla ya hatarMashehe ubwabwa washafika bei.
Wote tuwakemee wauaji na watekaji.
Haya matendo mabaya yanawaathiri wote wakiwamo waislam.
Kwaiyo mashehe kujiona kama utekaji na mauaji, ufisadi nk ni vitu visivyowahusu ni ujinga