tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,807
- 29,283
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mpaka sasa Kanisa Katoliki (RC) na makanisa yote ya kikiristo kupitia muungano wa makanisa yote (CCT) wametoa wito kwa waamini kuwaombea ndugu waliopoteza maisha kwenye mauaji ya halaiki ya MO29. Pamoja na kuombea marehemu na kuwafariji ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao, wamehimizana kumuomba Mungu aepushie mbali au kupunguza makali ya mvua za Elnino zinazotarajiwa kunyesha mwanzoni mwa Novemba.
Cha kushangaza, ndugu zetu katika imani (waislamu) hadi sasa wamekaa kimya kana kwamba wao hili jambo haliwahusu. Inashangaza sana. Ina maana wao hawakufiwa kwenye mauaji ya MO29 au Elnino ikija itawadhuru makafir tu? Au ndio kusema kuwa mauaji ya MO29 na Elnino ijayo ni matokeo ya ukafir hadi wagome kujihusisha nayo?
Wao kila siku wamekaa pale wamevaa kanzu na kobaz zao wanavimbisha vichwa kisa tu nchi inaongozwa na muislamu mwenzao. Wana tatizo la feel good effect....kwamba wanajisikia raha automatically kwa sababu ya nchi kuongozwa na muislamu. So what? Yakhe, hawana khaya!
MAONI YANGU
Naomba waislamu wajitokeze kuungana na wakristo katika kukemea maovu yanayoendelea katika nchi hii na pia kuombea nchi dhidi ya majanga. Kujikita kumuombea Samia tu kwa kuwa ni muislamu mwenzao hakuwezi kuwapa manufaa yoyote.
Nawasilisha.