Hivi waislamu wana kinga dhidi ya majanga?

Hivi waislamu wana kinga dhidi ya majanga?

Mashekhe waliyajua haya, mkaambiwa msifanye vurugu yaani wamarudia mara nyingi , nyie na laana zenu mkawaita mashekhe ubwabwa , ulitaka wawaombee nyie wakaidi?

Leo mnawataka wale mashekhe ubwabwa, wenzenu wana akili walijua yatatokea , sasa nyie wachochezi mnabweka ..Hatuwezi kuungana na nyie mlivyoita mashekhe ubwabwa , ona kilichotokea .M
Uzuri kuna jamaa yetu kobazi hajapatikana tangu 029,na ubwabwa ulikula
 
Cha kushangaza, ndugu zetu katika imani (waislamu) hadi sasa wamekaa kimya kana kwamba wao hili jambo haliwahusu. Inashangaza sana. Ina maana wao hawakufiwa kwenye mauaji ya MO29 au Elnino ikija itawadhuru makafir tu? Au ndio kusema kuwa mauaji ya MO29 na Elnino ijayo ni matokeo ya ukafir hadi wagome kujihusisha nayo?
Wale madogo wa juzi waliokua wanacheza kingonongono mbele ya Camera huku wamevaa hijabu, uliona Bakwata wametoka mbele kusema lolote au uliona Shekhe yoyote anazungumza lolote? Hakuna basi vunga mpaka waguswe kweenye mshono pale utaona wanavyotoa milio uguse msikiti useme hapa msikiti huu ubomolewe tupitishe barabara hilo ni janga kwa waislamu wote watapinga,

kuna sehemu napafahamu TanROADS wana hizi beacon za kuonyesha huu ndio mwisho wa barabara sasa kuna msikiti mmoja umejengwa kiasi cha kwamba umeingia kabisa hadi ndani ya zile beacon maana yake ni kwamba umeingia ndani ya hifadhi ya barabara na upo ndani ya barabara, wanachofanya sasa hivi ni kufanya kila linalowezekana kuonyesha kwamba beacon zile zimewekwa kimakosa wakati huo watu wengine wote wakiwemo waislamu wa karibu waliambiwa wavunje nyumba zao zilizomo ndani ya hifadhi ya barabara wamepisha kwa kubomoa na kurudi nyuma msikiti umegoma kubomoa ndio kwanza wanaufanyia decoration zaidi

ila Mungu akishusha kimbunga msikiti ukafagiwa wanasema hilo sio janga ni mipango ya Allah ameupenda zaidi msikiti kuliko wao
 
Tuwekeze kwenye elimu jamani. Ukiendekeza ulafi hupoteza akili. Hebu pandisha bei ya mchele, tambi, sukari, viungo vya pilau kama hujatuona.
 
Acha ufala mnuka mdomo , wakati wanawaambia msifanye fujo mlijibu vipi? wamekuja mashekhe mara kadhaa kabla ya yote kutokea , mkawaita mashekhe ubwabwa , hiyo laana imewapata .
Kobaz ninyi akili mgando sana. Hata shuleni kwetu, kobaz kushika Namba moja hadi 7 ilikua hamba. Ilikua kobaz unawakuta mwishoni huko
 
Hao jamaa walipoambiwa na wale mashekhe wasifanye fujo ni hatari , wakawaita mashekhe ubwabwa, waliweka kongamano kabisa mpaka wanawafanya meme.

Masikio yao wanawasilikiza hapo PhD za sadaka , wanawadani eti wamenyooka huku wakitukana mashekhe ..Laana yake madhara yameonekana ,sasa wanakuja tena kuwaulumu mashekhe ubwabwa badala ya wanaume zao waliowachochea .
🙂​
mswalie mtume sheikh, una jazba sana
 
Ndio ukae kwa utulivu....Imani Yako haiombei marehemu yetu inaomba ...ukae kwa kutulia.... Unapewa mabikra 72 manyonyo hayalali... Sasa mama zako na dada zako wao wanapewa Nini! Baki na Imani yako
😅😅Kwani mnapenda shobo ,mpaka matangazo sisi mbona tulishaombea kwa utaratibu wenu..Shobo za nn na nyege za mgalatia mwezio kukutaja.

Msitutaje kwenye upumbavu wen..
 
Kobaz ninyi akili mgando sana. Hata shuleni kwetu, kobaz kushika Namba moja hadi 7 ilikua hamba. Ilikua kobaz unawakuta mwishoni huko
Leo unawaraka kobaz wakuombee ,mpakwa mafuta ya bwana ..Kijana wa Paulo Leo unataka kobaz akuombee kwa ujinga wenu.
 
Uzuri kuna jamaa yetu kobazi hajapatikana tangu 029,na ubwabwa ulikula
Sasa unataka wale mashekhe ubwabwa waje kufanyaje ,Wewe ni mkristo si utoombewa kwa bikra Maria..kwenye maombi yenu mnawataka mashekhe ubwabwa ili iweje au nyege zenu?

Mliambiwa msifanye fujo ,mkakaidia ..Pambaneni na hali zenu ,sisi hatuombei maiti kama nyie makafiri ..Kama tungekuwa na utaratibu huo basi tungekuwa tunaomboleza mauaji ya mwembechai mpaka Leo.

Punguza nyege mtoto wa kiume ni hatari ,nyie makafiri hatuwezi kufuata Mila zenu..Hitma tulishafanya wala hakuna sehemu mmelazimisha mfanye.
 
Ndio ukae kwa utulivu....Imani Yako haiombei marehemu yetu inaomba ...ukae kwa kutulia.... Unapewa mabikra 72 manyonyo hayalali... Sasa mama zako na dada zako wao wanapewa Nini! Baki na Imani yako
Kwan mtutaje kama sio nyege mbwa nyie?
 
Wale madogo wa juzi waliokua wanacheza kingonongono mbele ya Camera huku wamevaa hijabu, uliona Bakwata wametoka mbele kusema lolote au uliona Shekhe yoyote anazungumza lolote? Hakuna basi vunga mpaka waguswe kweenye mshono pale utaona wanavyotoa milio uguse msikiti useme hapa msikiti huu ubomolewe tupitishe barabara hilo ni janga kwa waislamu wote watapinga,

kuna sehemu napafahamu TanROADS wana hizi beacon za kuonyesha huu ndio mwisho wa barabara sasa kuna msikiti mmoja umejengwa kiasi cha kwamba umeingia kabisa hadi ndani ya zile beacon maana yake ni kwamba umeingia ndani ya hifadhi ya barabara na upo ndani ya barabara, wanachofanya sasa hivi ni kufanya kila linalowezekana kuonyesha kwamba beacon zile zimewekwa kimakosa wakati huo watu wengine wote wakiwemo waislamu wa karibu waliambiwa wavunje nyumba zao zilizomo ndani ya hifadhi ya barabara wamepisha kwa kubomoa na kurudi nyuma msikiti umegoma kubomoa ndio kwanza wanaufanyia decoration zaidi

ila Mungu akishusha kimbunga msikiti ukafagiwa wanasema hilo sio janga ni mipango ya Allah ameupenda zaidi msikiti kuliko wao
Wewe jamaa mbona unaongea vitu irrelevant kabisa 😅😅Wako shule pale wanafuata sheria za shule zao sio BAKWATA..

TAMSYA ilitoa tamko lile ,mbona unaficha chuki ambazo zinakumaliza ..Ni bora ukaangalia maisha yako ,niliona kiongozi wa CHADEMA akisema waislamu hawatuungu mkono yaani analazimisha watu wafaute chama cha kanisa.

Tukiungana na nyie ,basi mnakuja kusema waislamu wako chini ya katoliki ,sisi katoliki ni wakubwa tunaongoza hii nchi..Tukaangalia mambo yetu ,nyege zinawapanda ..😅😅
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mpaka sasa Kanisa Katoliki (RC) na makanisa yote ya kikiristo kupitia muungano wa makanisa yote (CCT) wametoa wito kwa waamini kuwaombea ndugu waliopoteza maisha kwenye mauaji ya halaiki ya MO29. Pamoja na kuombea marehemu na kuwafariji ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao, wamehimizana kumuomba Mungu aepushie mbali au kupunguza makali ya mvua za Elnino zinazotarajiwa kunyesha mwanzoni mwa Novemba.

Cha kushangaza, ndugu zetu katika imani (waislamu) hadi sasa wamekaa kimya kana kwamba wao hili jambo haliwahusu. Inashangaza sana. Ina maana wao hawakufiwa kwenye mauaji ya MO29 au Elnino ikija itawadhuru makafir tu? Au ndio kusema kuwa mauaji ya MO29 na Elnino ijayo ni matokeo ya ukafir hadi wagome kujihusisha nayo?

Wao kila siku wamekaa pale wamevaa kanzu na kobaz zao wanavimbisha vichwa kisa tu nchi inaongozwa na muislamu mwenzao. Wana tatizo la feel good effect....kwamba wanajisikia raha automatically kwa sababu ya nchi kuongozwa na muislamu. So what? Yakhe, hawana khaya!

MAONI YANGU
Naomba waislamu wajitokeze kuungana na wakristo katika kukemea maovu yanayoendelea katika nchi hii na pia kuombea nchi dhidi ya majanga. Kujikita kumuombea Samia tu kwa kuwa ni muislamu mwenzao hakuwezi kuwapa manufaa yoyote.

Nawasilisha.
​
Hata mm nashindwa kuwaelewa 👐
 
RC na CCT wametoa wito kwa..waamini (wana Kristu.......Kobazi wanausikaje apo mpka kuwapa lawama?
 
Bro nitakutajia kwa ufupi waislam waliouliwa na serikali ya mwislam mwenzao samia Suluhu.
1. Sheikh Kinoko ya Majini
2. Aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Media (michezo), Master Tindwa Mtopa, aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 30 Oktoba 2025 akiwa nyumbani kwake kibarazani.
Tukio: Alishambuliwa na kupigwa risasi tarehe 30 Oktoba 2025 akiwa nyumbani kwake kibarazani.
Mazishi: Alizikwa tarehe 3 Novemba 2025.
Taarifa ya Kituo: Clouds Media ilitoa taarifa ya msiba na ratiba ya mazishi.
Tulishaktaa vurugu hatuko kidini zaidi ,mlitarajia nn kuwatusi mashekhe ..Siwezi kuungana na nyie mliowatusi na kuwatweza mashekhe wetu.

Tulikuwa tunangojea muda ,huyo alishazikwa na sababu kubwa ni nyie wafanya vurugu.. Uislamu ni amani kama hamsikii kafanyeni tena ,wewe mgalatia dua wa waislamu inaruhusu nn?

Mbona tuliwaombe arobaini zao wala hatukuwa wasumbua nyie wagalati ? Mnachokitafuta utakipata nyie makafiri.
 
RC na CCT wametoa wito kwa..waamini (wana Kristu.......Kobazi wanausikaje apo mpka kuwapa lawama?
Hao jamaa chuki zao zipo maskini ,yaani wanaongea vitu irrelevant..Watu waliwaambia msiandamame kutatokea madhara makubwa ,basi wanawaita Mashekhe ubwabwa ..Leo wanakuja kuwalazimisha wasili na matokeo 😅😅
 
Wakati wa 2001 Mkapa alipo wauwa Wapemba hao Mapadri walifanya nini?. Wakati wa mauaji ya Mwembechai Mapadri walifanya nini?.

Wakati wa Uamsho wamefungwa mapadri walifanya nini?. Kuna msemo wanasema ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji nywele zako(zamu yako inakuja).
wameshapoteana mission yao failed
 
Sisi waislamu hayo sio kipaumbele, kipaumbele chetu ni Mchele uliochambuka na nyama ya ngamia pembeni juisi ya tende.
 
Sisi waislamu hayo sio kipaumbele, kipaumbele chetu ni Mchele uliochambuka na nyama ya ngamia pembeni juisi ya tende.
Kejeli za nn tena? kwani lazima tushiriki mfumo wenu wa ibada ..Mbona tumefanya khitma bila ya kuwabuguzi nyie ..Vita mnaitafuta sana ila mtaipata
 
Back
Top Bottom