Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 527
- 836
Yaan ukisoma reply za watu wa ccm na waislamu unaona ni kiasi gan akili zilivyo kua zero kwani kanisa lilisema watu watoke waandamane sasa nyie kama mnataka maridhiano kwnn maombi yasiwepo?
BAKWATA ni tawi la CCM, hawawezi kuwaombea mrehemu wa MO29 mkuu. Labda ungesema taasisi ile anayoiongoza shehe Issa Ponda.Kohorani ndo kitu gani?
Anway waislam walishaomba.
Kama wito ulivotolewa na kanisa nao wakitaka utatolewa na bakwata ili waomboleze..
Au kwenye wito kanisa limetaka na waislam waomboleze?
Nimekuuliza swali wito uliotolewa na kanisa umewakata na waislam waende kanisani kuombeleze?BAKWATA ni tawi la CCM, hawawezi kuwaombea mrehemu wa MO29 mkuu. Labda ungesema taasisi ile anayoiongoza shehe Issa Ponda.
Unasema BAKWATA ni tawi la CCMBAKWATA ni tawi la CCM, hawawezi kuwaombea mrehemu wa MO29 mkuu. Labda ungesema taasisi ile anayoiongoza shehe Issa Ponda.