Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,146
- 51,482
Wakristo na waislamu wanaishi vizuri tu huku mtaani, tatizo liko kwa viongozi wapokea bahasha na wenye platform za kuzungumza ndiyo wanatengeneza mgawanyikoCha kushangaza, ndugu zetu katika imani (waislamu) hadi sasa wamekaa kimya kana kwamba wao hili jambo haliwahusu. Inashangaza sana. Ina maana wao hawakufiwa kwenye mauaji ya MO29 au Elnino ikija itawadhuru makafir tu? Au ndio kusema kuwa mauaji ya MO29 na Elnino ijayo ni matokeo ya ukafir hadi wagome kujihusisha nayo?