Hivi Waislamu " original" wako Israel ( Palestina) au Saudi Arabia?

Dini ni mpango wa shetani kubagua watu,kutengeneza chuki, uhasama na visasi
Umekutwa na nini ? Hio sio dhamira ya dini kugombanisha watu bali wapokea dini ndio wanaoleta hayo matatizo. Refresh your view
 
Nauliza tu kwa wanazuoni na wabobezi wa maswala haya ya imani za kuabudu na kumtumikia Mungu.

Kwa mfano hapa Tanzania hizi dini tuliletewa tu kutoka huko zilikoanzia, ndio maana nauliza Uislam wa " ukweli " ni ule wa Palestina, Saudi Arabia au Iran?

Kuuliza siyo ujinga.

Ramadhan kareem!
Muislam original ni yule anaefuata mafundisho ya Mwenyezi Mungu, Haijalishi anatoka wapi.

Kwenye Quran kuna Sura nzima inaitwa Luqman, Mwenyezi Mungu anamuelezea Luqman kama mtu mwenye busara kupata kutokea na mwenye Imani,

Wanazuoni wanatuambia Luqman alikuwa akiishi East Africa, maeneo ya Ethiopia ama karibia na Hapo, Luqman hajatoka Israel wala Saudi Arabia.
 
Hizo dini walizipokea kutoka wapi?
Adam alikuwa na dini, wewe Una dini, mimi nina dini, kila mtu Ana dini. Dini ni mfumo wa maisha, unacho fanya toka umeamka mpaka unalala ndio dini.

Kuna dini za simba na yanga, kuna dini za uislamu, ukristo, dini za papuchi, dini za ushirikina etc.

Na dini zinazomuamini Mungu zimeshushwa na Malaika Gabriel/Jibril ambae alikuwa akiwasiliana na mitume.
 
Bwashee uislamu ulianzishwa na mtume.

Mtume alizaliwa Mecca Saudi Arabia kwa iyo asili ya uislam ni Saudia.

Hao waislamu wa israeli ni wavamizi ndo mana wanashurutishwa waondoke kwenye nchi ya ahadi.
Uislam uko tokea enzi za Nabii Adam na mkewe Hawa
 
Bwashee uislamu ulianzishwa na mtume.

Mtume alizaliwa Mecca Saudi Arabia kwa iyo asili ya uislam ni Saudia.

Hao waislamu wa israeli ni wavamizi ndo mana wanashurutishwa waondoke kwenye nchi ya ahadi.
DNA nyingi zinaonesha Wapalestina ni wayahudi wa zamani, Enzi na Enzi kulikuwa na inter marriage baina ya waisrael na waarabu,

Kabla ya kuisha vita ya pili ya dunia Palestina ilikuwa na Dini zote tatu wayahudi, wakristo na waisilamu. Hata walivyouliwa wayahudi huko ulaya Walikimbilia palestina na kuhifadhiwa,

Hawa waliokuja sasa hivi ni wazungu na ushetani wao, wanajinasibisha na uyahudi ila ukimtafuta Rabbi yoyote mwenye elimu anawakataa.
1. Wanakula Nguruwe na Nguruwe wamekatazwa kwenye dini ya kiyahudi
2. Wanaruhusu ushoga na wanatangaza Tel Aviv kama paradise ya ushoga
3. Wametengeza nchi hali ya kuwa imekatazwa kwenye vitabu vya kiyahudi
4.wanaua watu for fun against mafundisho yao etc.
 
Adam alikuwa na dini, wewe Una dini, mimi nina dini, kila mtu Ana dini. Dini ni mfumo wa maisha, unacho fanya toka umeamka mpaka unalala ndio dini.

Kuna dini za simba na yanga, kuna dini za uislamu, ukristo, dini za papuchi, dini za ushirikina etc.

Na dini zinazomuamini Mungu zimeshushwa na Malaika Gabriel/Jibril ambae alikuwa akiwasiliana na mitume.
Kwanini Gabriel hakushusha dini bustanini Eden?
 
Kwanini Gabriel hakushusha dini bustanini Eden?
Kutokana na wakati, jinsi civilization inavyo kua kunakuwa na changes zinaletwa kutokana na wakati, kwa imani yetu Quran ni kitabu cha mwisho, kabla ya quran kulikuwa na Taurat, zabur na Injili na kabla ya hapo kulikuwa na sahifa za mitume mingine, mfano sahifa ya Ibrahim. (sahifa ni kitini)

Kipindi cha Adam walikuwa wakiruhusu kuona dada na kaka, ila sasa hivi haturuhusiwi, Nuhu alilewa mpaka akakaa uchi ila sisi haturuhusiwi kuelewa, etc.

Hivyo kutokana na wakati na wakati revision mbalimbali zililetwa.
 
Back
Top Bottom