Saudi Arabia kuwa upande wa Israel inamaanisha Waislamu wanaohiji Makka na Madina wako upande wa Wayahudi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,081
Naomba kuelimishwa namna mahujaji wanavyokamilisha Ibada zao Makka na Madina, je huko ndio kitovu cha Uislam?

Saudi arabia ni swaiba wa Marekani ambaye ni mfadhili mkuu wa Israel na inasemekana Saudi Arabia ulipo Msikiti wa Makka wako upande wa Wayahudi katika ile "Shughuli" inayoendelea huko Gaza.

Hii haimaanishi Waislamu wanaunga mkono Wayahudi?

Niko Hapa kuelimishwa.
 
Kasome historia ya uanzishwaji wa Taifa la sasa la Saudia na jinsi majasusi wa kiingereza akina "Lawrence of Arabia" walivyoshiriki kikamilifu.

Kisha kasome mkataba wa ulinzi wa Marekani na Saudia in exchange ya Saudia kuuza mafuta yake kwa dollar tu na si currency nyingine.

Kisha jiulize hata siku moja kama Marekani imewahi kuipigia kelele Saudia kuhusu ishu za Democracy
 
Yericko asije akakopi na ku paste hicho kitabu!
 
Baada ya kuhoji report ya CAG unahoji mambo yasiyokuhusu,

Baada
Badala

Report ya CAG kwenye jukwaa la kimataifa?

Wewe umehoji mangapi? Ni mgawanyo wa majukumu mkuu, acha huyu ahoji hili, mwingine ahoji zuchu na chibu wanaachana lini, mwingine ahoji puli inapigwaje, mwingine ahoji ufugaji wa nguruwe na sungura, wewe hoji report ya CAG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuelimishwa namna mahujaji wanavyokamilisha Ibada zao Makka na Madina, je huko ndio kitovu cha Uislam?

Saudi arabia ni swaiba wa Marekani ambaye ni mfadhili mkuu wa Israel na inasemekana Saudi Arabia ulipo Msikiti wa Makka wako upande wa Wayahudi katika ile "Shughuli" inayoendelea huko Gaza.

Hii haimaanishi Waislamu wanaunga mkono Wayahudi?

Niko Hapa kuelimishwa.
Vita vya Israel na Hamas sio vita vya dini ya Kiyahudi na uislam ila vita ya kisiasa na ndio maana atakeye shinda atamtawala mwenziwe kisiasa

Sasa usitake kulazimisha kuwa Ile ni vita ya kidini

Hivi kale kanchi kaseme kaanzishe vita na waislam alafu Kila Muislam achukue mtutu aingie Israel Kuna myahudi atakae Baki pale?
 
Watu wanaangalia interest kwanza, dini baadaye. Kumbuka hao hao waislamu wamegawanyika. Kuna Sunni na Shia, na wote hawaivi chungu kimoja.
Kwanza jiangalie weye. Huo ukiristo utakusaidia baada ya kufariki.? Maana mkiristo akifa bado akiwa mkiristo haulizwi anavurumishwa tu motoni
 
Naomba kuelimishwa namna mahujaji wanavyokamilisha Ibada zao Makka na Madina, je huko ndio kitovu cha Uislam?

Saudi arabia ni swaiba wa Marekani ambaye ni mfadhili mkuu wa Israel na inasemekana Saudi Arabia ulipo Msikiti wa Makka wako upande wa Wayahudi katika ile "Shughuli" inayoendelea huko Gaza.

Hii haimaanishi Waislamu wanaunga mkono Wayahudi?

Niko Hapa kuelimishwa.
Anamuogopa US.
 
Back
Top Bottom