johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,121
HopelessDini ni moango wa shetani kubagua watu,kutengeneza chuki, uhasama na visasi
Khaaaa🥺🥺🥺Dini ni moango wa shetani kubagua watu,kutengeneza chuki, uhasama na visasi
Nimekuelewa kiasi bwashee!Bwashee uislamu ulianzishwa na mtume.
Mtume alizaliwa Mecca Saudi Arabia kwa iyo asili ya uislam ni Saudia.
Hao waislamu wa israeli ni wavamizi ndo mana wanashurutishwa waondoke kwenye nchi ya ahadi.
Ahsante bwashee!Sasa kama unaamini Tanzania dini tuliletewa, hudhani swali lilitakiwa kuwa chimbuko la Uislamu ni wapi badala ya kuhoji Uislamu wa kweli?!
Uislamu ni mmoja tu, kama unaamini kuna Uislamu wa uongo basi huo sio Uislamu!!
Wapo Waislamu wa uongo lakini hakuna Uislamu wa uongo ingawaje yanaweza kuwepo madhehebu ya uongo ; kama ambavyo uwepo wa Wakristo wa uongo lakini hapawezi kuwepo na Ukristo wa uongo, at least, as per christianity faith ingawaje huko pia yanaweza kuwepo madhehebu ya uongo!!
Ni kutokana na ukweli huo, ndo maana hata Yesu hakupata kuzungumzia suala la Ukristo wa uongo bali Manabii wa Uongo wanaotokana na Wakristo waongo, na hatimae kuanzisha madehebu ya uongo!!
Mkristo/Mwislamu muongo ni kama Mtanzania anayejifanya ni Mtanzania wakati sio Mtanzania na kwahiyo anakuwa Mtanzania wa uongo lakini hakuna Tanzania ya uongo!!
So, kama swali ni chimbuko basi ni Saudi Arabia kwa sababu ndiko Mtume Muhammad alizaliwa na kupata utume wake akiwa huko, kama ilivyo kwa Ukristo ambapo Yesu alizaliwa Israel, na kufanya mafundisho yake huko!!
Dini ni moango wa shetani kubagua watu,kutengeneza chuki, uhasama na visasi
Kila dini na Mungu wakeDini ni moango wa shetani kubagua watu,kutengeneza chuki, uhasama na visasi
Atheist ni asiye amini kuwa Mungu Yuko. Ninamwamini Mungu, ila siziamini diniAtheist kazini
Dini ungekuwa ni mpango wa Mungu, Basi alipoumwa Adam palepale angepewa dini. Lakini alipewa ardhi, wanyama, na kila kitu. Dini ikaja baadaye Sana. Ukristo Leo una miaka 2028 na uislamu ulikuja miaka 400-600 baada ya Ukristo.Hopeless
Watu wote wanaomlaumu shetani na walaaniwe,shetani ametengeneza ajira kubwa duniani ,pesa njenje lakini hamuishi kumsema kwamabaya ,tafadharini mpeni heshima hatakidogoDini ni mpango wa shetani kubagua watu,kutengeneza chuki, uhasama na visasi
Inawezekana pia!Wako Roma/Vatican
Watu wote wanaomlaumu shetani na walaaniwe,shetani ametengeneza ajira kubwa duniani ,pesa njenje lakini hamuishi kumsema kwamabaya ,tafadharini mpeni heshima hatakidogo
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Mmoja katiyao akipewa sifa basi mwingine ashukuriwe
HahaaaBwashee uislamu ulianzishwa na mtume.
Mtume alizaliwa Mecca Saudi Arabia kwa iyo asili ya uislam ni Saudia.
Hao waislamu wa israeli ni wavamizi ndo mana wanashurutishwa waondoke kwenye nchi ya ahadi.
tatizo hujui hata maana ya dini ni nnDini ungekuwa ni mpango wa Mungu, Basi alipoumwa Adam palepale angepewa dini. Lakini alipewa ardhi, wanyama, na kila kitu. Dini ikaja baadaye Sana. Ukristo Leo una miaka 2028 na uislamu ulikuja miaka 400-600 baada ya Ukristo.
Siku zote hizo kwanini Mungu hakuwa amezileta hizo dini feki?
Hata Biblia yenyewe inathibisha kuwa hizo mnazodhani kuwa ni dini Bora si lolote wala chochote, ila dini Bora ni hi:-
Yakobo 1:27
27 Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu.
Neno: Bibilia Takatifu