Hivi wairaq wapoje kitabia?

Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Mkuu wanyaturu wana sifa gani
Mkuu tabia zakinyaturu hazina Sana tofauti na zawairaq.ingawa wairaq wamezd kwenye swala lakugawa,Baada yakutendwa vibaya nahawa wairaq niliamua kuwa baharia ili nipunguze machungu....nikatua Singida Apo kunatotoz kali Sana zakinyaturu nakinyiramba.kwanza wanyaturu mademu wao wengi kishumbuzi hakipo wameondoa sku nyngi,niwakalimu Sana adi uchumi wakat unapewa bla shida.wanajua kutunza familia shda yao nkuwa ukifksha umri mfali ulali namkeo ndani anakufukuza ukalale nnje afu kunakjana anakuwa anakuja kusaidia uchumi wakati,hawapendi zarau,nimoja Kati ya totozi zinazopenda kazi yakufungua vizibo,Shule moja niliopewa namshkaji wangu wakinyaturu nikuwa dada zao wanaipenda Sana Arusha kulko mkoa wowote watz,kwaiyo ukitaka kumuoa hakiksha unamuulza ulshafka Arusha?akjbu bado mpe nauli aende akilud ndio mfunge ndoa,vngnevyo ukimuoa atatoloka aende Arusha maisha yakmchapa analud kuomba msamaha.Wanapenda Sana ushirikina wamapenzi,siwasafi Sana,ila wanajua kupambana kutafuta pesa kulko wanaume wao.Masingle mother niwengi Sana pia.....wanajua michezo yauchumi wakat.Mwisho kuwa making nmoja yasehemu hatari Sana kwakale kaugonjwa.;chaziada.....de way uzionavyo tabia za Miss tz2006 ndio ivoivo natabia zandugu zake uku yani Yule anaupendo wadhati sema uko chini panvyomuwashaga,Ndio anaamuaga kumtunuku yoyote dhati yake
 
Amejifungua mwezi wa saba, ila mpaka sasa hataki kunipa mzigo wambulu bana
 
Ah mkuu wengi wapee ..ila niliwah kushuhudia mshikaj wangu chuo pale moshi alijifanya kujijaza kwa hawa wa iraq mwanzon wana kuwa makin lkn jamaa demu aligongewa na CR yaan ilikuwa ni counter attack
ushirika hapo 😂 bila shaka
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom