kwamba mwamposa naye anatumia nguvu za gizaShida yenu ni Moja, Bado hamjajua tiba za Mungu na tiba za kishetani. Hili pia linataka Elimu kutofautisha.
Hapo, ni uchawi mmoja umeuzidi uchawi mwingine.
Bibie kwa tunaojua uchawi, hatuwezi kubisha. Sababu uchawi unazidiana.Tulia wanakuja kubisha hapa,uzuri mleta Uzi nadhani Ni Muslim.
Sheitani imani yako ni ipi uko kwa Mungu au LuciferTatizo ya mambo ya nyuma ni kama hadithi ila kiuharisia ni kweli mwanamke ni daraja sana
Ila sipendi niongee kitu maana bado sijapata ruhusa ya Mungu kwa ahadi ya mdomo wangu
Alafu sio lazima kukuta mwalimu kafaulu wote mnaweza feli VITA NI KUBWA
Mungu akijaalie uwe na moyo huohuo mimi nataka kujua na najua sio dhambi kujuaWewe hujamuelewa bado huyo dada... Kwahio kama wew ni mkristo maana yake huna jicho la rohoni kutambulika dada wa watu ni mtu wa aina gani na umsaidie vipi
Kuna waalimu wanafundisha wapo wengi shida watu Huwa wanaongea stori zao za migahawani kwa kila mtumishito be honest sijawah kuisoma naijua bible, tena ubaya nyumbani ipo ile agano la kale ila huo mda wa kusoma sasa nisome nielewe nisipoelewa nitaeleweshwa na nan
Tiba Mungu imekaaje?Shida yenu ni Moja, Bado hamjajua tiba za Mungu na tiba za kishetani. Hili pia linataka Elimu kutofautisha.
Hapo, ni uchawi mmoja umeuzidi uchawi mwingine.
abadan alishashindwa Mungu ni muweza wa yote atanilinda na vitimbi vya huyo shetaniAngalia shetani asikupotoshe usiku huu
Zaidi ya asilimia.kwamba mwamposa naye anatumia nguvu za giza
Na wewe pia sijakuelewaWewe hujamuelewa bado huyo dada... Kwahio kama wew ni mkristo maana yake huna jicho la rohoni kutambulika dada wa watu ni mtu wa aina gani na umsaidie vipi
Hapo hapo kwanza ipigwe chumvi ya kutosha mpaka ifubae na kunywea kabisa kisha ndio safari ya kanisani ianzeMkuu mawardat nakushauri ,badala ya kuharibu na kuchoma Moto hivyo hiyo irizi, mngeipeleka kanisani. Maana mlianza na kanisa malizeni na kanisa.
Ukienda na Hilo li' hirizi watajua jinsi ya kumaliza tatizo moja kwa moja happy kanisani mlipoenda.
Mbona kama umeanza kujaa upepo rafiki yangu.abadan alishashindwa Mungu ni muweza wa yote atanilinda na vitimbi vya huyo shetani
still kuna kitu sjakielewa kwamba mpaka nikatfte mwalim au unamaanisha niwe namfatilia mwamposaKuna waalimu wanafundisha wapo wengi shida watu Huwa wanaongea stori zao za migahawani kwa kila mtumishi
Fanya hivi agiza mtu siku akienda kwa Mwamposa akuletee hayo maji au mafuta umpelekee rafiki yako... Au apelekewe moja kwa moja nyumban kwake kama wewe huwez... Unaweza muagiza hata bodaboda muaminifu akaenda pale kanisani akachukua yale maji au mafuta akampelekea... Mwambie ile siku alivyo jisikia hali ile ndio ilikua uponyaji wakemimi kumpeleka huko ni mtihani alikuja kunisabahi tukajikuta tunaangalia inuka uangaze, tena ilikua jioni ikabidi asiondoke had alipokaa sawa halaf hatukua tunajua n hayo maj tukawa tunaambiana mbona imekua hivo ni nini au unaumwa,
hapana best niko imara shetani hajanipata badoMbona kama umeanza kujaa upepo rafiki yangu.
Kama vipi nikuombee🤣😍
Kinyume na hizo zinazo fanywa. Japo Biblia siamini, hakuna mafundisho ndani ya Biblia yanaelekeza namna ya uponyaji mnao fanyiwa na hao wanao itwa manabii.Tiba Mungu imekaaje?
Mkuu wote tukiulizwa unampenda nani? Tutajibu Mungu ila kiuhalisia tuna Muogopa tu kwa vitisho hilo Mungu analijua fika na shetani kwa maarifa yake anajua kipigilia msumariiiSheitani imani yako ni ipi uko kwa Mungu au Lucifer
Walim wapo wengi shida kama hujaguswa na huna shauku ya kujua basi hauwezi Tafuta mafundisho Yao na kujifunza.still kuna kitu sjakielewa kwamba mpaka nikatfte mwalim au unamaanisha niwe namfatilia mwamposa