donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Au utajisikiaje
Pale ambapo upo na mama mkwe na mkeo ndani ya gari lako aina ya Vitz mara linapita Range Rover, mama mkwe anasema "mwanaume huyo kapita"