Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 471
Nilikuwa Kaka mkuu....! na wanafunzi waliniogopa na kuniheshimu.
Awapi nakumbuka tu siku ya kwanza tulipohamia darasa kuingia darasa la kwanza tu wenzangu walikua wananiogopa automatikali coz nilikua kibonge alafu mchangamfu najua mambo kibao utafikiri niko la pili!
Hahahah hahha hahha,
Umenichekesha sana swaiba lol,
Unanikumbusha kuna jamaa mmoja yeye alikua ni mwizi mkuu wa peni ukipoteza ukimfata ana kwambia mwende nyuma ya darasa anafungua bedi anamwaga vitu chini anakua na pen hata 20 unachagua ya kwako unasepa na ukimwambia mtu atahakikisha ww kila siku uanpoteza pen na ukimfata anakutishia kukudunda hahhahah!
Jamaa alikua anaiba hata mwalilim akikaa vibaya tu kabeba,inawezekana ukawa ndio wewe aiseee lol!
teh teh nye ndo wale mliotuibia madaftari,vitabu na peni
lol, uzuri nilikuwa naonekana kibwana mdogo halafu mpole, na watu hawakuwahi kunihisi. Nakumbuka sababu kubwa ya mimi kuanza kuiba ni kuwa kila siku walikuwa wananiibia na kila siku nanunuliwa peni mpya. Sasa maza aliponichoka akasema kimasihara na wewe si uibe wakikuibia? Since then sikupata kuibiwa peni zaidi ya mimi kuwa mwizi mzoefu.
Nikuwa sio mbabe, ila busara na uwezo wa kujenga hoja, pamoja na ushawishi..! walimu walikuwa wananikubali kwa hiloila hiyo cheo sijui kwanini wengi huwa wanamchagua mtu mbabe,we unawezekana ulikuwa mbabe shuleni
teh teh nye ndo wale mliotuibia madaftari,vitabu na peni
kwahiyo ina maanisha we ndo uliyefanya mapinduzi?mana uko form 2 mlipindua halafu form 3 ukawa monitor[/QU TULIMPINDUA ALIYEKUWA MONITOR TUKIWA FORM TWO NA KUMWEKA MWINGINE NA SI MIMI MAANA WAKATI MAPINDUZI BILA YA UMWAGAJI DAMU YALIFANYIKA NIGERIA NASI TULIFANYA KAMA KUJARIBU LAKINI IKAWA KWELI
halafu ukiiba unabadilisha mrija wa nje,teh teh
Hahahah hahha hahha,Eee bwana eeh namkubuka kuna msichana alikuwa anapiga darasa nzima,wanaume wanne tu ndo wanaoweza kumpiga,niliwahi kupigana naye,alinipiga teke katikati ya miguu mpaka nikahisi kizunguzungu....
labda ndo we nini?ila sidhani kama ulikuwa mkorofi
Hahahha hahaha hahhaa,lol, uzuri nilikuwa naonekana kibwana mdogo halafu mpole, na watu hawakuwahi kunihisi. Nakumbuka sababu kubwa ya mimi kuanza kuiba ni kuwa kila siku walikuwa wananiibia na kila siku nanunuliwa peni mpya. Sasa maza aliponichoka akasema kimasihara na wewe si uibe wakikuibia? Since then sikupata kuibiwa peni zaidi ya mimi kuwa mwizi mzoefu.
shule ya msingi nilikuwa kiranja wa nidhamu, sekondari nilikuwa mwongozaji wa mapinduzi ya monitors na kuweka wale ninaoendana nao. Niliwahi kugombea ukiranja nikakosa kura za f1 kwani niliwatesaga sana,kura za madarasa mengine tukagawana. Advance niliamua kula msuli kwani historia ilionesha viranja wote wanafeli. Chuoni nilikuwa waziri wa afya. Napigania na kueneza M4C!
hehehe kwahiyo wakati kama wa sikukuu za kidini unakuwa na mishe mishe kibao