Hivi ulipokuwa shule ya msingi,O-level na A-level ushawahi kuwa na cheo gani???

Nilikuwa monitor std 3 hadi std 5. Nikawa monitor form one hadi form four. Chuoni nikawa special woman representative..
 
Awapi nakumbuka tu siku ya kwanza tulipohamia darasa kuingia darasa la kwanza tu wenzangu walikua wananiogopa automatikali coz nilikua kibonge alafu mchangamfu najua mambo kibao utafikiri niko la pili!

Eee bwana eeh namkubuka kuna msichana alikuwa anapiga darasa nzima,wanaume wanne tu ndo wanaoweza kumpiga,niliwahi kupigana naye,alinipiga teke katikati ya miguu mpaka nikahisi kizunguzungu....
labda ndo we nini?ila sidhani kama ulikuwa mkorofi
 
Hahahah hahha hahha,
Umenichekesha sana swaiba lol,
Unanikumbusha kuna jamaa mmoja yeye alikua ni mwizi mkuu wa peni ukipoteza ukimfata ana kwambia mwende nyuma ya darasa anafungua bedi anamwaga vitu chini anakua na pen hata 20 unachagua ya kwako unasepa na ukimwambia mtu atahakikisha ww kila siku uanpoteza pen na ukimfata anakutishia kukudunda hahhahah!

Jamaa alikua anaiba hata mwalilim akikaa vibaya tu kabeba,inawezekana ukawa ndio wewe aiseee lol!

lol, uzuri nilikuwa naonekana kibwana mdogo halafu mpole, na watu hawakuwahi kunihisi. Nakumbuka sababu kubwa ya mimi kuanza kuiba ni kuwa kila siku walikuwa wananiibia na kila siku nanunuliwa peni mpya. Sasa maza aliponichoka akasema kimasihara na wewe si uibe wakikuibia? Since then sikupata kuibiwa peni zaidi ya mimi kuwa mwizi mzoefu.
 
Nilikuwa monitor std 3 hadi std 5. Nikawa monitor form one hadi form four. Chuoni nikawa special woman representative..

dah inaonekana una experince ya uongozi mana mpaka chuo ni ishu
 
lol, uzuri nilikuwa naonekana kibwana mdogo halafu mpole, na watu hawakuwahi kunihisi. Nakumbuka sababu kubwa ya mimi kuanza kuiba ni kuwa kila siku walikuwa wananiibia na kila siku nanunuliwa peni mpya. Sasa maza aliponichoka akasema kimasihara na wewe si uibe wakikuibia? Since then sikupata kuibiwa peni zaidi ya mimi kuwa mwizi mzoefu.

halafu ukiiba unabadilisha mrija wa nje,teh teh
 
umesahau na gololi mkuu.. Kuna jamaa'ngu alitoboa soli ya kiatu ili akikanyaga gololi basi inabaki kwenye soli.. Lol
sisi tulikuwa na tabia mpaka kuibiana mahindi ya kuchoma darasani
 
teh teh nye ndo wale mliotuibia madaftari,vitabu na peni

shule ya msingi nilikuwa kiranja wa nidhamu, sekondari nilikuwa mwongozaji wa mapinduzi ya monitors na kuweka wale ninaoendana nao. Niliwahi kugombea ukiranja nikakosa kura za f1 kwani niliwatesaga sana,kura za madarasa mengine tukagawana. Advance niliamua kula msuli kwani historia ilionesha viranja wote wanafeli. Chuoni nilikuwa waziri wa afya. Napigania na kueneza M4C!
 
kwahiyo ina maanisha we ndo uliyefanya mapinduzi?mana uko form 2 mlipindua halafu form 3 ukawa monitor[/QU TULIMPINDUA ALIYEKUWA MONITOR TUKIWA FORM TWO NA KUMWEKA MWINGINE NA SI MIMI MAANA WAKATI MAPINDUZI BILA YA UMWAGAJI DAMU YALIFANYIKA NIGERIA NASI TULIFANYA KAMA KUJARIBU LAKINI IKAWA KWELI
 
Eee bwana eeh namkubuka kuna msichana alikuwa anapiga darasa nzima,wanaume wanne tu ndo wanaoweza kumpiga,niliwahi kupigana naye,alinipiga teke katikati ya miguu mpaka nikahisi kizunguzungu....
labda ndo we nini?ila sidhani kama ulikuwa mkorofi
Hahahah hahha hahha,
Sio mm bana,mie sikuwahi kupigana hata siku moja,
Kuna wakati walianzisha ule mchezo wa kila tukitoka shule mnachaguliwa 2 unachorwa mstari mpigane lol,nikajipendekeza kwa mwalim mkuu ikawa kila tukitoka jioni nawahi kwenda kumbebea mkoba wake na kumpelekea kwake ambapo niliepuka kuchaguliwa kupigana!
 
lol, uzuri nilikuwa naonekana kibwana mdogo halafu mpole, na watu hawakuwahi kunihisi. Nakumbuka sababu kubwa ya mimi kuanza kuiba ni kuwa kila siku walikuwa wananiibia na kila siku nanunuliwa peni mpya. Sasa maza aliponichoka akasema kimasihara na wewe si uibe wakikuibia? Since then sikupata kuibiwa peni zaidi ya mimi kuwa mwizi mzoefu.
Hahahha hahaha hahhaa,
Mama anajua km utani wake uliufanyia kazi na kuuaply kiukweli lol!
 
shule ya msingi nilikuwa kiranja wa nidhamu, sekondari nilikuwa mwongozaji wa mapinduzi ya monitors na kuweka wale ninaoendana nao. Niliwahi kugombea ukiranja nikakosa kura za f1 kwani niliwatesaga sana,kura za madarasa mengine tukagawana. Advance niliamua kula msuli kwani historia ilionesha viranja wote wanafeli. Chuoni nilikuwa waziri wa afya. Napigania na kueneza M4C!

sasa mkuu kama o-level ulikuwa unawanyanyasa form 1 sasa hivi walio chini yako kipato,kiuongozi(unaowaongoza) huwanyanyasi?
 
Back
Top Bottom