Hivi ulipokuwa shule ya msingi,O-level na A-level ushawahi kuwa na cheo gani??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ulipokuwa shule ya msingi,O-level na A-level ushawahi kuwa na cheo gani???

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Viol, Apr 17, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mi nilichaguliwa kuwa monitor darasa la 6 nikapinduliwa ndani ya wiki mbili kisa utoro.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mimi pia niliwahi kuwa monitor form 2.....sababu iliyo nifanya kupata hicho cheo ndio iliyoniondoa baada ya siku chache.....
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  teh teh teh mbona hutuambii ilikuwa sababu gani
   
 4. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  O'level nlipata Cheo cha Academic Prefect na waliona mbali maana baada ya miaka 2 nlifaulu peke yangu kwenda A'level ! Huko nako nikabakia kuwa a good talker mpaka leo nahamasisha M4C !
   
 5. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Prefect both O and A level..
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  usumbufu na mipango isiyo rasmi....
   
 7. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa monitor kuanzia darasa la tatu hadi la tano, katibu wa bweni form three na wing leader mwaka wa kwanza hadi wa pili chuoni ila form two tuliwahi kumpindua monitor na kumweka mwingine
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa mwizi mkuu wa peni..
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  yaani we umekuwa prefect wa academic halafu ukafaulu mwenyewe?basi ulikuwa unajichukulia vitabu vya shule halafu wengine wanakosa
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie nilikua monita tangu darasa la 2,na nilipewa cheo hicho baada ya kuwa kinara wakunyamazisha wenzagu darasan,na nilipokuwa monita darasa lilikua kimya mda wote km kuna mwalimu maana nilianzisha kamchezo ka kushindana kuchora na mwalimu wetualipojua akawa kila siku anatangaza mshindi aliyechora vizuri na kumpa zawadi ya pensel au daftari,

  Nilipofika la tano nikawa time kipa maana peke yangu darasani nilikua navaa saa kila siku raha je!!!
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  nikuambia prefect wa nini?
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  kwahiyo ina maanisha we ndo uliyefanya mapinduzi?mana uko form 2 mlipindua halafu form 3 ukawa monitor
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  teh teh nye ndo wale mliotuibia madaftari,vitabu na peni
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hahahah hahha hahha,
  Umenichekesha sana swaiba lol,
  Unanikumbusha kuna jamaa mmoja yeye alikua ni mwizi mkuu wa peni ukipoteza ukimfata ana kwambia mwende nyuma ya darasa anafungua bedi anamwaga vitu chini anakua na pen hata 20 unachagua ya kwako unasepa na ukimwambia mtu atahakikisha ww kila siku uanpoteza pen na ukimfata anakutishia kukudunda hahhahah!

  Jamaa alikua anaiba hata mwalilim akikaa vibaya tu kabeba,inawezekana ukawa ndio wewe aiseee lol!
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  teh teh teh hujawahi kuwa mpole?
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Shule nilizosoma when you're chosen to be a prefect it was an overall duty in all aspects.. They dont specify..
   
 17. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  O level niliwahi kuwa mwenyekiti wa UKWATA
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  basi hiyo system ni kali aisee,sijawahi ona kwingine
   
 19. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Awapi nakumbuka tu siku ya kwanza tulipohamia darasa kuingia darasa la kwanza tu wenzangu walikua wananiogopa automatikali coz nilikua kibonge alafu mchangamfu najua mambo kibao utafikiri niko la pili!
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hehehe kwahiyo wakati kama wa sikukuu za kidini unakuwa na mishe mishe kibao
   
Loading...